Expendable vs Fast and furious

Expendable vs Fast and furious

EINSTEIN112

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2018
Posts
21,711
Reaction score
35,644
Haya makundi mawili ya waigizaji yamejizolea umaarufu sana kwa kutengeneza filamu kali zinazobamba saaana.

EXPENDABLE = hii series ya movies imesheheni Waigizaji wakongwe na waliotamba saana kipindi cha nyuma na hadi leo bado wapo gado saana mixer waigizaji vijana, sina sababu ya kuwaorodhesha lazima unawajua kama ni mtazamaji wa filamu.

FAST/FATE AND FURIOUS = hii series imesheheni vijana barubaru na kufanya usichoke kutazama filamu zao yaani wote ni mastars na wanabamba kwelikweli.

we unakubali kundi lipi kati ya haya mawili?

imgres.jpg



images.jpg
 
Zote kali... Tatizo huwezi mfananisha John Makin na diamond wote wanajua ila kila moja na genres yake
👍
 
Back
Top Bottom