Experience kwa waliosoma Open university degree ya kwanza

Chalz03

Member
Joined
Mar 14, 2022
Posts
22
Reaction score
20
Kama mada inavyojieleza hapo wakuu, naomba kufahamu uzoefu walopata wale waliopitia mfumo huo wa elimu kupata shahada zenu. Hiyo ikihusisha namna ya kusoma ugumu na wepesi na pia baada ya kumaliza kusoma.
 
Nina Experience: Labda kama unataka kusoma hiyo Degree for 7 years.

Otherwise; Tafuta Chuo kingine Mkuu na uhudhurie classes.
 
Sababu ya kusoma 7 years ni sababu ya chuo au nini
Nina Experience: Labda kama unataka kusoma hiyo Degree for 7 years.

Otherwise; Tafuta Chuo kingine Mkuu na uhudhurie classes.
 
Kasome elimu ya university inakubarika..acha maneno ya walioshindwa..nenda kapige shule..maarifa mengi tunayapata kwa juhudi binafsi..kuna vilaza wengi tu wametoka udsm,udom n.k

#MaendeleoHayanaChama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…