Experience kwa waliosoma Open university degree ya kwanza

Experience kwa waliosoma Open university degree ya kwanza

apa nina mamb mawili wadau naomba ushauri ..
nikimaliza clinical officer nipige kazi au niende bachelor y diatetics ???? na vp kuhusu soko la ajira kwa upande wa course zote mbili huko tanzania bara ??
 
Nimesoma na watu walikuwa na physics, chemistry,na biology,ebu waconsult mkoani kwako bila Shaka wanayo
aisee mii niko zenji , and this is my home talent.. na kila ninae muuliz ananmbia hakun anaemjua aliesom hiy huk ...
 
apa nina mamb mawili wadau naomba ushauri ..
nikimaliza clinical officer nipige kazi au niende bachelor y diatetics ???? na vp kuhusu soko la ajira kwa upande wa course zote mbili huko tanzania bara ??
Fikiria ajira ya Dunia sio Tanzania Tu.
 
Msaaada mwenye ufafanuzi please Bachelor of science general inamaanisha nini Au fied ipi?

Screenshot_20220520-210829.png
 
Open University ni Chuo cha watu wenye akili za kikubwa zilizokomaa na wanajua wanataka nini...
Kama unaona umefikia hiki kiwango kasome... utatambuliwa kimataifa...
Lakini kama bado una akili ya mwanafunzi....kutegemea mwalimu na chaki ubaoni.... usieende... utapoteza hela na muda wako....
 
Hakuna vyuo vingine Tanzania vinavyotoa online degrees??
 
Open University ni Chuo cha watu wenye akili za kikubwa zilizokomaa na wanajua wanataka nini...
Kama unaona umefikia hiki kiwango kasome... utatambuliwa kimataifa...
Lakini kama bado una akili ya mwanafunzi....kutegemea mwalimu na chaki ubaoni.... usieende... utapoteza hela na muda wako....
Labda a combine masomo na uzoefu hapo ataongeza his job prospects...

Ila kuna negative attitude kuhusu hicho chuo i dont know why, kwa mtu ambaye hana degree ,hana uzoefu kuchukua course hapo Open University ni ku limit his chances... labda kwa internationational organisations ndio mara nyingi hawana hio negative attitude.
 
Hivi kozi ya IT nayo wanatoa kwa mtandao au must be face to face kwa NTA 4,5,6
 
Okay,nataka niingie open University na Cheti Cha form six,nichukue degree ya ualim nikibase na masomo ya bookkeeping VIP itanicost Bei gani
 
Back
Top Bottom