yussuf shaaban
Member
- May 10, 2022
- 19
- 3
aisee mii niko zenji , and this is my home talent.. na kila ninae muuliz ananmbia hakun anaemjua aliesom hiy huk ...Nimesoma na watu walikuwa na physics, chemistry,na biology,ebu waconsult mkoani kwako bila Shaka wanayo
Fikiria ajira ya Dunia sio Tanzania Tu.apa nina mamb mawili wadau naomba ushauri ..
nikimaliza clinical officer nipige kazi au niende bachelor y diatetics ???? na vp kuhusu soko la ajira kwa upande wa course zote mbili huko tanzania bara ??
what u mean mzee ??? !!!!Fikiria ajira ya Dunia sio Tanzania Tu.
Labda a combine masomo na uzoefu hapo ataongeza his job prospects...Open University ni Chuo cha watu wenye akili za kikubwa zilizokomaa na wanajua wanataka nini...
Kama unaona umefikia hiki kiwango kasome... utatambuliwa kimataifa...
Lakini kama bado una akili ya mwanafunzi....kutegemea mwalimu na chaki ubaoni.... usieende... utapoteza hela na muda wako....
Kijana acha mbwembwe na kiingereza ugoko hichona kam kwend chuo but huku unatafut ajira !!!! is that possible au mpk umaliz miaka miwili ya ajira kish nd uend collg
BothHivi kozi ya IT nayo wanatoa kwa mtandao au must be face to face kwa NTA 4,5,6