kwa jinsi suala la uzazi linavyochukuliwa afrika.................. hii kitu hakiwezekani................. kule tu kuuchukulia uzazi kama so private ............... facilities kama hizi za water birth zitakuwa ngumu ............... ila kwa jamii ambazo familia inaweza kukutana pamoja na kumzunguka mmoja wao anapojifungua ...................... aina hii ya delevery inaweza kufanyika bila complications nyingi..................