experience the water birth/delivery

experience the water birth/delivery

Blessed Keinerugaba

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2011
Posts
4,754
Reaction score
4,746
some researchers have come up with the mechanisim that can help expectant women on delivery.this mechanisim relieves tensions.ni mfumo ambao umeripotiwa kuwasaidia wakina mama wajawazito wakati wa kujifungu,hii link ina maelezo ya kina
www.difining2morrow.blogspot.com
 
hii kitu ya kidhungu zaidi. Huku kwetu mama anakuja in second stage,nurse 1 wamama kumi itawezekana? Kama inashindikana upatikanaji wa basic needs za hospital na hizi luxuries itawezekana?
 
me nah nah! Impractical in our local settings, but with determination everything is possible
 
Water delivery na maji haya ya kwetu, mtoto atazaliwa na kipindupindu cha mapafu na macho!
 
kwa jinsi suala la uzazi linavyochukuliwa afrika.................. hii kitu hakiwezekani................. kule tu kuuchukulia uzazi kama so private ............... facilities kama hizi za water birth zitakuwa ngumu ............... ila kwa jamii ambazo familia inaweza kukutana pamoja na kumzunguka mmoja wao anapojifungua ...................... aina hii ya delevery inaweza kufanyika bila complications nyingi..................
 
Back
Top Bottom