Experience yangu JF miaka 10 iliyopita

Habari za usiku waungwana.

Nimekumbuka experience yangu humu JF 10 years ago, nilikutana na a nice guy, ngoja nishee nanyi.

Iliku

Ni miaka imepita kama 10, it was a nice experience ingawa iliisha kitofauti๐Ÿคฃ๐Ÿ™
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Eeeeeuuuuuuuh
 
Nina mbegu safi vitoto vyangu vinakuwa kama vimalaika. Tutafanya mpango tuongeze kidume kimoja the world needs it โ™ฅ๐Ÿ˜ฌ

Hongera sana nina mtoto wa kiume ha wa kike. Wa kiume ana miezi 3 sasa.
Hongera bana,binafsi napenda zaidi watoto wa kiume,manake naona kama malezi ya mtoto wa kike yanahitaji umakini wa hali ya juu sana,hasa kwenye hizi nchi za ulimwengu wa tatu.
 
Baada ya kuusoma huu uzi then nikapata kutambua umri wako kwa sasa, na vipi jimbo bado lipo wazi??
 
Baada ya kuusoma huu uzi then nikapata kutambua umri wako kwa sasa, na vipi jimbo bado lipo wazi??
๐Ÿคฃ๐ŸคฃNishakuwa shangazi sasa ๐Ÿ™ haya yalitokea nikiwa bado kabinti kabichi kabisa,ambako kalikuwa bado very honest na kenye usafi wa kutosha,bila makandokando.
Miaka unakwenda,leo siyo jana, hivyohivyo na mwanadamu anakuwa na kubadilika,kimfumo wa maisha,ukibaki stagnant for 10 years,tunasema Kuna tatizo pahala.
Nimebarikiwa watoto wawili,na niko kwenye mahusiano yenye afya,yasiyokuwa na kifungo Cha ndoa.
 
Sawa madame, mtu mzima mwenzio nimekuelewa umebarikiwa watoto wawili na upo kwenye mahusiano yasio na kifungo cha ndoa...๐Ÿ˜Š
 
Ila wanaume๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Hivi kwanini hamsemagi ukweli kuwa mmeoa?
[/QUOTE]
..........tatizo ni upofu WA mapenzi na zile fantasies za wakati was mahusiano, wanawake mnasahau jukumu kubwa la kumfuatilia kiundani mwanaume kama ameoa au la.......
 
Ila wanaume๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

.........tatizo ni upofu WA mapenzi na zile fantasies za wakati was mahusiano, wanawake mnasahau jukumu kubwa la kumfuatilia kiundani mwanaume kama ameoa au la.......
Na kwanini ufuatiliwe? Si useme tu kuwa umeoa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ