Shozylin
JF-Expert Member
- Jul 21, 2022
- 341
- 699
Wakuu amani iwe nanyi, last week kuna kadada flan iv kapo mkoa wangu, niwe muwazi nilikaona fb tu nikakachokoza tukapeana namba, tukachat mpaka kufikia stage ya kukulana (mahusiano)
Sku ya kukulana yumekutana vizuri nikajisahau kutumia kinga, yule mtoto bhana ni kama hakua na fungus sugu basi ni PID, uchi haukua na harufu ila kuna kama uchafu flan iv mweupe ulio ganda kama maziwa mtindi.
Kilicho nipa waswasi wanza wakati wa kuingiza alilamika kuhisi maumivu wakat dushee likimuingia.. tukafanya.
Nikawaza mama kahisi maumivu maana yake nimemchubua, vip kuhusu mimi kingine haka karembo kalikua kanaongea na simu ambazo zilinifanya nihis jakajatulia, hatimaye kakazima simu. Ningefanyaje na tayari nimesha kala kavu.
Baada ya gemu nikamuachia akaondoka wakati huo tukakubalia tutapima j3 maana sku hiyo ilikua alhmais... Alivo ondoka nikawaza kuna umuhimu gani wa kupima j3 wakati tumefanya leo.? Ikitokea mmoja wetu akawa ni mzima.? Nikampgia sm na kumuomba tuonane tukapime mda huo akadai yuko busy.
Nikampgia dk mmoja ni rafiki angu akanambia njoo hapa hospital nikaenda taratibu zikafanyika za kupata Pep na nikapata
J3 nikamchek mdada wa watu akadai yupo busy hana mda na sababu nyingi. Nikasema weee usinitanie acha nipge zangu pep hapa.
Kiukwel ni hii itakua experience mbovu sana na itakua na funzo ndani yake..
PEP zenyewe ni Kali sana zimeharibu choo changu, napata choo kwa shida kwa kuniradhimisha tu nimekula mapapai wapi.. bado pia nakua mchovu mchovu, sometimes nahisi kichefu chefu.
Vip kama haka kabinti kakikubali tukapime na kakawa kazima ni naweza kuziacha na nisipate shida ?
Hizi pep ni sawa na ARV wanazo meza watu ambao ni wagonjwa nikimaanisha ile nguvu ya dawa, kuhisi uchovu na kichefu chefu.? Wenye experience wanijibu pls