Experience yangu kuhusu PEP-(Vidonge vya kukinga na maambukizi ya VVU)

Experience yangu kuhusu PEP-(Vidonge vya kukinga na maambukizi ya VVU)

Mtu anapata wap ujasiri wa kugonga kavu kav ?
Me nyege izo cn kwa kwel. kuna day nilienda kumtembelea mchepuko mageton kwak sikuwa na nia ya kwenda kumla ila galfa akata nimle ten kwa kuforce nikamuliza unazo condom akasema hana bc nikamwambia ushanikosa vaa nguo zako alimaindi san nishaacha kula nyapu kwa kukosa condom t na huwa wala sipapatikii nyapu me.
 
Mkuu zenyewe nazipiga mpaka mpaka siku zitimie...

Ila niliuliza kua....
Vip kama haka kabinti kakikubali tukapime na kakawa kazima ni naweza kuziacha na nisipate shida ?

Hizi pep ni sawa na ARV wanazo meza watu ambao ni wagonjwa nikimaanisha ile nguvu ya dawa, kuhisi uchovu na kichefu chefu.? Wenye experience wanijibu pls
Niliwahi tumia, lakini kwa upande wangu hazikunipatia shida
 
Mkuu zingatia mazoezi, pia usiache kula matunda , kula vizuri pumzisha mwili wako. Ukizingatia hayo, utaishi kwa matumaini
 
Back
Top Bottom