Experience yangu kuhusu PEP-(Vidonge vya kukinga na maambukizi ya VVU)

Yaliyokukuta ndo yaliyonikuta mimi miez kadhaa nyuma.. nilitumia hizo dawa ndani ya siku 21. Yule demu nikampima ila akawa fresh.. nikamuhuliza daktari kama kuna umuhimu wa kuendeleeaa kutumia hizi dawa akasema Hapana Achana nazo tu haina shida.

Kwahiyo wewe hizo dawa achana nazo.
 
pole chief ,mlifahamiana before ama mlijuana tu fb.

na yupo mkoa gani kwa sasa ,nataka nijue sababu kuna magonjwa ni changamoto kubwa sana kwa ukanda fulani hapa bongo.
 
Hivi,huwa tunaanza kushiba kabla ya kula au tunakula ndiyo tushibe?πŸ€”
 
Ila jua pep unatakiwa kunywa within 72hrs baada ya hiyo exposure na ufanisi wake ni 90% and above ukiwahi huo muda, ila unaweza kupima after 3 weeks unaweza kupima na rapid test ikiwa negative basi 80% chances u r negative, then ukipima after 6 weeks ukikuta negative achana na hiyo midawa kirusi kama mipo 6 weeks na rapid test lazima kionekane, hizo dawa ni kali jitahidi maji mengi na usinywe pombe ili usiichoshe figo yako , unawezq kuhangaika na ukimwi ukaharibu figo
 
Tafuta kipimo then mwite umpime hata mwenyewe, kama yupo Negative unaacha tu kumeza hizo PEP na hakuna shida yeyote. inakuwaje demu unakutana naye facebook tu na unamla kavukavu? umechoka kuishi ama?? Huogopi UKIMWI, homa ya ini, pangusa, Gono, Kisonono, malengelenge na UTI sugu?
 
Ndio, ni ARV zinazotumiwa kufubaza HIV. Unaweza kuacha dose muda wowote ukithibitisha possible exposure ni negative
 
Hizo ndio ARV zenyewe wanazotumia wakulungwa zinaitwa TLD, zamani TLE
 
Hiyo sio fungus wa ugonjwa huyo Binti hajaliwa siku nyingi. Kifupi huyo ndio mke sasa. Mwanamke Ambae hajaliwa siku nyingi Huwa hivyo....

Ingekuwa ni ugonjwa na wewe ungeupata muda huo huo. Unafanya mchezo na fungus Nini...

Na hicho ndio kipimo Cha wanawake ambao hawaliwi kama ukimuacha mkeo mwaka mzima na usikute huo utando mzito wenye rangi ya maziwa ujue wajanja Wana mpitia maana hata ajiswafishe Kwa vidole Kuna sehemu awezi kuzigusa. Kinachogusa ni oomb tuu na kiosheo Cha kipochi manyoya ni oomb ndio maana kichwa kina pingiri...

Usimuwazie vibaya mtoto wa watu...!​
 
Mtindi ni Fungus hiyo
 
Kheeee! Acha kupotosha
 
Kwa nn unahangaika mkuu nenda pharmacy uchukue oral quick ujipime.
 
Mwanzo tu ndo utajisikia vby ila mbelen zinakua kawaida.....yaliwahi kunikuta haya
 
Vipimo vinapatikana WAP kwa urahisi au lazima niende hospital haviuzwi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…