Dr Rutagwerera Sr
JF-Expert Member
- Dec 21, 2011
- 5,809
- 11,462
Ni mpaka iwe na harufu.Mtindi ni Fungus hiyo
Niliwahi tumia, lakini kwa upande wangu hazikunipatia shidaMkuu zenyewe nazipiga mpaka mpaka siku zitimie...
Ila niliuliza kua....
Vip kama haka kabinti kakikubali tukapime na kakawa kazima ni naweza kuziacha na nisipate shida ?
Hizi pep ni sawa na ARV wanazo meza watu ambao ni wagonjwa nikimaanisha ile nguvu ya dawa, kuhisi uchovu na kichefu chefu.? Wenye experience wanijibu pls