Asante sana mkuu...tupo pamoja sanaAsante mkuu,
Angalia inbox yako.
Acha kudiscourage watu wengine Mbona tulipata sawasawa na investment zetu
The issue here is the management basi,ukulima wa simu wtf you expect lazima utavuna mabua tu
Tatizo mnakurupuka kujibu bila kualewa. Soma elewa ujumbe ammemaanisha nini
Mkuu milioni 10 kuzipoteza sio jambo dogo.., pia huo muda uliopoteza ni priceless..; sasa unavyosema utalima tena ni kama kubahatisha sababu ukifanya kitu kile kile ulichofanya mwaka huu huenda matokeo yakawa yaleyale...
Kwa ushauri mimi naona kwa yoyote anayeanza kufanya kitu chochote kwa kuanzia ni bora aanze kidogo kidogo.., hii itakupa experience na wewe kujionea mambo yanavyokwenda. Sababu mkuu just imagine haujawahi kuuza alafu ghafla una gunia mia na kitu.., alafu jambo lenyewe ni perishable hata wanunuzi wataona desperation na inaweza kupelekea wewe kuuza bei ya kutupa.
Pili nimeshaona wabongo wengi kitu kama kina faida sana kwa wakati fulani basi inapelekea kila mtu kufanya kitu kile kile.., hii inapelekea supply kuwa kubwa sana ghafla na huenda zile bei zilizozoeleka zikashuka..
Kwahio mkuu Ushauri kama Utalima tena...
- Anza kidogo ili upate uzoefu.., hata ekari moja kwanza watu wakujue na ufahamu mwenendo wote mpaka wa soko
- Tafuta soko kwanza ujue kabisa unauzia wapi na uwe na plan B..., yaani kama soko likiwa baya hakikisha unao uwezo wa ku-store kwa muda mpaka bei zitakapopanda
- Kama Kilimo chako kinategemea hali ya hewa (na sio umwagiliaji) basi kuwekeza pesa nyingi ni kama kamali
- Katika Hesabu zako za kupata faida weka the worse case scenario.., yaani fikiria kwamba mfano bei ikiwa mbovu kuliko zote bei ni kiasi gani ?, alafu hii ndio pigia hesabu
- Ukisikia fulani kauza labda yeye anao mtandao wake.., madalali mara nyingi ukiwa hauna mzigo wanasema lete hakuna neno na kama unautoa mbali siku ukiuleta wanaanza story za kwamba mzigo mara mbovu au kuna malori yameingia toka vijijini kwahio kuna mzigo wa kumwaga n.k. (hii yote ni kujaribu kushusha bei na wanajua hauna jinsi utashusha tu..) Point yangu hapa hakikisha kabla una sehemu za masoko zaidi ya moja ili moja likikataa basi lingine unaweza kufanika..
Zaidi ya hapo hakuna tofauti na mtu anayeweka pesa zake kwenye Betting Manchester United inapocheza na Chelsea ukitegemea mmojawapo ashinde
Heshima kwenu viongozi wangu.
Wakuu natumai hamjambo na mnaendelea vyema na shughuli za ujenzi wa taifa letu.
Wakuu baada ya kusikia wengi wetu wakisifia sana kilimo cha vitunguu nikapata muamka na mimi nikaingia katika kilimo cha vitunguu.
Nilikodisha ekari sita pale Ruaha Mbuyuni.
Kwa kweli sitaki kusema mengi ila ninachoweza kusema ni kwamba kutajirika kwa kilimo cha vitunguu LABDA inawezekana lakini sio kiurahisi kama wengi wetu wanavyohubiri humu.
Kwa EKARI ZOTE SITA nilizolima nilivuna gunia mia moja na tano tu.
Gunia moja niliuza kwa shilingi elfu thelathini tu.
Nilivuna mwezi wa saba mwaka huu ,2014.
Nilitumia shilingi karibia MILIONI KUMI NA TATU kulima ekari zote sita halafu nilipovuna nikapata shilingi milioni tatu laki moja na elfu hamsini hivi.3,150,000 kutoka kwenye mavuno ya ekari zote sita.
garama hzo za uendeshaj ilikuwa kubwa sna kwa eka hzo
Muda wote wanaotuibia ni wenyeji wetu! Wanakijiji ,vibarua! Unaweza kusimamia vizuri lakini wasikwambie kwamba shamba hilo limechoka, halina rutuba hata utumie mbolea gani utapata hasara tu, yashanikuta!
Muda wote wanaotuibia ni wenyeji wetu! Wanakijiji ,vibarua! Unaweza kusimamia vizuri lakini wasikwambie kwamba shamba hilo limechoka, halina rutuba hata utumie mbolea gani utapata hasara tu, yashanikuta!
mkuu licha ya bei ndogo umepata gunia chache sana..kawaida ilibidi upate hata minimal ya gunia 60 kwa eka, kwa eka 6 ungepata 6*60*30,000=10,800,000
kilimo cha pale balaa..nimeshakila hasara ya m3 mwezi huu...eka moja na nusu imetoabgunia chache sananafahamu hapo alipolimia pato lao huwa ni ndogo ni wastani ya gunia 50 au 60 aliyepata sna ni 70 kwe eka.tofouti na igawa na mangola arusha.kilichomtia hasara yawezekana ni .1.ardhi ina magadi 2 mbegu 3 usimamizi mbovu.km hujazingatia hayo lazima ufeli tu.kitunguu na nyanya inahitaji usimamizi na uangalifu wahali ya juu
Usimamizi na uaminifu ndio siri kuu ya kilimo cha vitunguu