Expiration date za bidhaa

Expiration date za bidhaa

Nomadix

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2025
Posts
2,411
Reaction score
6,646
Wakuu niaje.

Umewahi kutumia kitu, baada ya kukitumia ukagundua kimeexpire.
  • Ulitumia kitu gani?
  • Ulichukua hatua gani baada kujua?
  • Nini kilifanya mpaka ikawa hivyo? Ulijisahau! au ilikuaje.
 
Niliwahi kununua soda ya kopo nikapanda daladala, nikawa napiga mdogomdogo, naelekea kuimaliza kucheki kwenye kopo, tarehe ya kuexpire ni miezi miwili nyuma! Nilishtuka kinoma sikupata madhara makubwa zaidi ya kuhisi kurudisha chenj...
 
Kwani ukila kitu kime expire unakuwaje maana mimi huwa siangalii nanunua nakula
Haha kuna madhara sema nasikia huwa bidhaa inaanza kuwa na madhara miezi mitatu baada ya ile expiration date
 
Sure, Imekua kawaida watu kutumia bidhaa zilizoisha mda wake bila kujua.

Especially bidhaa ndogondogo kama Dawa ya meno.

Nakumbuka kuna siku niliagiza Bia yangu pendwa somewhere. Chupa ya pili nikaanza kufeel kama kitu hakipo sawa, chupa ya tatu dakika za mwishoni nikagundua mzigo uliexpire way back. Anyway niliimalizia kiungwana na kumove on
 
Huwa noma sana mkuu, hasa ikiwa ni bidhaa za kula au kunywa kama chakula na madawa.
 
Kuna kipindi nilienda chimbo, nilishangaa sana kukuta ile mifuko iliyopigwa marafuki, huvu baadhi ya Energy drink vikiwa expired na watu wanatumia
 
Hatari, Mimi lazima niangalie expire date. Sema Kuna vijibidhaa vingine ni vidogo vidogo havina hiyo labda uwe mtu wa kununua Kwa jumla Kwa Kila kitu hata cha hamsini.
 
Hatari, Mimi lazima niangalie expire date. Sema Kuna vijibidhaa vingine ni vidogo vidogo havina hiyo labda uwe mtu wa kununua Kwa jumla Kwa Kila kitu hata cha hamsini.
pia zingine wanaandika eti For best before see Package 📦
 
Use by date, Expire date ni tarehe ambazo zinamlinda mwenye bidhaa asije akashtakiwa kama mtu akidhurika

Lakini hata wewe unaweza kutumia akili tu
Unaweza kuta maziwa bado yana mda wake lakini yameharibika kisa labda yaliwekwa kwenye joto jingi au yamechanganywa na maziwa ya zamani

Sasa hapo ukiangalia tu tarehe itakula kwako.

Lingine unaweza kukuta cheese ina Expire date
Wakati cheese ni ikizidi kukaa ndio inazidi kuwa bora zaidi
Yaani kila inapooza ama?
 
Wakuu niaje.

Umewahi kutumia kitu, baada ya kukitumia ukagundua kimeexpire.
  • Ulitumia kitu gani?
  • Ulichukua hatua gani baada kujua?
  • Nini kilifanya mpaka ikawa hivyo? Ulijisahau! au ilikuaje.
Natumia many times

Hadi miezi sita after
 
Back
Top Bottom