Expiration date za bidhaa

Expiration date za bidhaa

Wakuu niaje.

Umewahi kutumia kitu, baada ya kukitumia ukagundua kimeexpire.
  • Ulitumia kitu gani?
  • Ulichukua hatua gani baada kujua?
  • Nini kilifanya mpaka ikawa hivyo? Ulijisahau! au ilikuaje.
Niliwahi tumia mafuta ya kula yakaniumiza koo kuja kuangalia yalikuwa yameisha muda wa matumizi...

Sabuni, mafuta ni vitu hatari sana kuvitumia vikiwa vimeisha muda wake wa matumizi
 
Aisee umenikumbusha kitu mkuu kuna mmaza mmoja amebabuka kawa kama aliungua na moto muda mwingi anajitibu na asali madawa ya kienyeji sababu alitumia vipodozi vya insta aka mwajuma ndala ndefu skincare products
Mkorogo wa Jero, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna tar ya bidhaa kuexpire na kunankuexpire baada ya kufungua.hii watu hawazingatii.kuna bidhaa ulishafungua mwisho kutumia siku Saba zingine week mbili.hata kama expire date iko mbali.sasa mtu anatumia mafuta ya kupika miezi mitatu au miwili au lotion .sio sawa.msome.
 
Back
Top Bottom