Niliwahi tumia mafuta ya kula yakaniumiza koo kuja kuangalia yalikuwa yameisha muda wa matumizi...Wakuu niaje.
Umewahi kutumia kitu, baada ya kukitumia ukagundua kimeexpire.
- Ulitumia kitu gani?
- Ulichukua hatua gani baada kujua?
- Nini kilifanya mpaka ikawa hivyo? Ulijisahau! au ilikuaje.
Mkorogo wa Jero, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aisee umenikumbusha kitu mkuu kuna mmaza mmoja amebabuka kawa kama aliungua na moto muda mwingi anajitibu na asali madawa ya kienyeji sababu alitumia vipodozi vya insta aka mwajuma ndala ndefu skincare products