Naomba unijibu kwenye hivyo vipengere vya ufundikaribu
Asante kwa kuonesha nia kwenye michoro yetu. Gharama ya kazi inategemea hali ya eneo, upatikanaji na mahitaji ya mradi. Ili nipatie bei sahihi, itabidi nifanye ukaguzi wa eneo au mawasiliano mafupi. Tafadhali nijulishe muda unaokufaa.Naomba unijibu kwenye hivyo vipengere vya ufundi