tunanyoosha tu vizuri now days technology ishabadilika ,labda utafte mafundi cheapRamani nzuri sana ila Bongo kupata mafundi wanaoweza kukujengea nyumba na mazingira yake, itoke hivyo hivyo unatakiwa uwe makini sana. Details ndogo ndogo kwenye ujenzi bado zinatupiga chenga sana. Ukiangalia nyumba nyingi sehemu kama corners, vigae, unyoofu wa cabinets za jikoni etc zina kasoro kubwa.
karibu sitetunanyoosha tu vizuri now days technology ishabadilika ,labda utafte mafundi cheap
Labda kama nyie mko vizuri, lakini nyumba nyingi unazoingia unakuta zina kasoro ndogo ndogo. I mean jinsi jamii yetu isivyo makini kwenye details ndogo ndogo kama kama kuandika maneno au majina, basi hii imeingia mpaka kwenye professional zetu.tunanyoosha tu vizuri now days technology ishabadilika ,labda utafte mafundi cheap