Export Business: Uliza chochote kuhusiana na Export Documentation

Export Business: Uliza chochote kuhusiana na Export Documentation

LIBRARY

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2012
Posts
231
Reaction score
238
Habari zenu wakuu wa kazi,

Niana ujuzi wa kutosha kuhusiana na biashara hii ya agricultural exportation hasa katika maswala mazima ya documentation.

Export parmits
Fumigation procedures
certificates of origin
Reliese
 
nataka kuexport ufuta nje ya nchi. msaada please.

unaweza ni pm
au kutumia email:zansususolution@gmail.com
 
Good topic..nimekuwa mchakatoni so waweza kuwa msaada kwangu..ntakuandikia
 
Achana na mambo ya pm,weka mambo hadharani hasa wewe mwenye uzi tuelezee unachokijua kwenye haya mambo
 
Habari zenu wakuu wa kazi,

Niana ujuzi wa kutosha kuhusiana na biashara hii ya agricultural exportation hasa katika maswala mazima ya documentation.

Export parmits
Fumigation procedures
certificates of origin
Reliese

mimi nahitaji kuexport cassava naanzia wap mkuu
 
tuwekee maelezo yote ya ku safirisha mazao ya chakula nje mkuu.
 
Habari zenu wakuu wa kazi,

Niana ujuzi wa kutosha kuhusiana na biashara hii ya agricultural exportation hasa katika maswala mazima ya documentation.

Export parmits
Fumigation procedures
certificates of origin
Reliese
Naomba ueleze hapa jukwaani chief wahitaji tuko wengi...
 
Hivi umemaliza darasa la ngapi ,sababu hata kuandika hujui ,njaa mbaya sana
 
Back
Top Bottom