Exportation

Exportation

BelindaJacob

Platinum Member
Joined
Nov 24, 2008
Posts
6,474
Reaction score
4,039
Hello JF members,

Kuna issue ya ku-export bidhaa fulani kwenda EU (kwa kutumia ndege). Sasa naomba mtu mwenye uzoefu na shughuli kama hii anipe insight information kidogo.
Ningependa kujua utaratibu wa suala zima la kusafirisha mizigo/bidhaa (mfano. bei kwa kg,ushuru, ukaguzi, aina ya ndege)...Nitashukuru kwa info. na nitakuwa naifuatilia hii thread kama kuna maswali mengine mkiniuliza niyajibu.

Shukrani
Belinda
 
please mention the industry category of the product you want to export ... hence timber products under natural resource, fruits and veg under agriculture and food security, Ak47 under defence and military
 
Thanks for your quick reaction bluetooth.. Products ni Tanzanian wines, kahawa, konyagi..
 
Last edited by a moderator:
Kama una nafasi na muda tembelea Export Processing Zones Authority (EPZA) wako pale External along Mandela Road, watakupatia info zote unazohitaji..
 
Mpendwa jion njema kifupi na FYI wasiliana na shirika la ndege za:- KLM,SWISSair, BRITISH airways Nk, CARGO SECTION au hata ofisini. mtayamaliza kwa ufanisi.
Good luck I hope utasucceed, Nami huku soko lipo in future.
 
Asante kiongozi nitawasiliana na EPZA..Shukrani tele Barraza

Salama mpendwa, hope uko powa kabisa. Nitafanya mawasiliano na haya mashirika..I hope for the best, nitakupa feedback imekwendaje..Many thanks life is Short
 
Last edited by a moderator:
Asante kiongozi nitawasiliana na EPZA..Shukrani tele Barraza

Salama mpendwa, hope uko powa kabisa. Nitafanya mawasiliano na haya mashirika..I hope for the best, nitakupa feedback imekwendaje..Many thanks life is Short
Mpendwa mie salaama salmini, in-shaallah kwako kwema, kama bidha zako zipo katika int'l.standards basi soko la ughaibuni nitakusambazia mie bila shaka. FYI kianzio kibarikiwe.(from a plant to the TREE)
Good luck
 
Hello JF members,

Kuna issue ya ku-export bidhaa fulani kwenda EU (kwa kutumia ndege). Sasa naomba mtu mwenye uzoefu na shughuli kama hii anipe insight information kidogo.
Ningependa kujua utaratibu wa suala zima la kusafirisha mizigo/bidhaa (mfano. bei kwa kg,ushuru, ukaguzi, aina ya ndege)...Nitashukuru kwa info. na nitakuwa naifuatilia hii thread kama kuna maswali mengine mkiniuliza niyajibu.

Shukrani
Belinda

Umefanikiwa? nikuunganishe na Chilisosi
 
Last edited by a moderator:
Mpendwa mie salaama salmini, in-shaallah kwako kwema, kama bidha zako zipo katika int'l.standards basi soko la ughaibuni nitakusambazia mie bila shaka. FYI kianzio kibarikiwe.(from a plant to the TREE)
Good luck

Asante sana besti..Nataka kutuma mzigo wa kwanza halafu nikwambie umeendaje ila nilishafanya market research ya hali ya juu kwa samples kadhaa, nitarudi kwako kwa feedback siku za karibuni. Uwe na siku njema na yenye mafanikio!!

Umefanikiwa? nikuunganishe na Chilisosi
Yes niunganishe nimsikilizie na yeye. Asante mkuu!!
 
Ku export vyakula Ulaya ni ishu Complicated sana, na ina procedure ngumu sana, wle watu wana sheria kari sana kuhusu maswala ya afya, na ni lazima wao wa prove kwamba hivyo vyakula vina standard ya kuingia ulaya, kwa kifupi kuna process za kufuta.
Na ni lazima ujue sheria za jumia ya ulaya zinasmaje kuhusu kuingiza ainahiyo ya vyakula kule na kiwango kinacho ruhusiwa, mak unaweza kuta kiwango ni Tani kazaa kwa mwezi au mwaka na hizo tani maana yake mnagwana na wengine wa Dunia nzima, so ni kazi.

Ila kwa vitu visivyo kuwa vyakula kidogo kuna unafuuu, kwenye misosi ndo huwa wana bana sana
 
Back
Top Bottom