Hivi Bisek anafikiriaje kutunga thread kama hizi in just 2 days?
Thread ya kwanza
Thread ya pili
thread ya tatu
Kama unaleta hoja za rafiki zako pia basi weka wazi ili wanao kushauria wasome context. It is obvious kua wewe huyo huyo huwezi kua mwanaume bachelor unae tafuta mke, pia uwe mwanamke alie mbali na mume wake for 2 years, tena uwe mwanamke anaeshingwa kushiriki tendo la ndoa na mume wake for the past month ingawa wanalala nae kitanda kimoja!
Thread ya kwanza
"natafuta mke": Awe muislam kwa sababu mimi nina mke mmoja tu,awe maji ya chungwa mnene kdogo na hips za haja.Awe mwaminifu,dini yoyote ile,umri miaka 17 hadi 35,mcha mungu alietulia.
Thread ya pili
"simtamani tena mume wangu": Mwanzoni haikuwa hivi..kadiri siku zinavokwenda nazidi kukosa hamu kabisa ya kushiriki naae tendo la ndoa,inabidi usiku nijifanye naumwa ili asiniguse,wakati mwingine tunalala kama kaka na dada zaidi ya mwezi kitanda kimoja.
thread ya tatu
"Baba mwenye nyumba ananitamani"" Mume wangu amesafiri yuko uingereza kwa masomo ya miaka 2,tangu aondoke baba mwenye nyumba ameanza kuleta kea nyingi za ajab ajab,mara mboga,mara vocha,mara matunda mara hela,usiku anapenda sana tukae wote until late hours....last month aliniambia kama nataka anaweza hata akaninunulia gari,im between the lines naomba ushauri ndugu zangu,what is the best way to deal with this issue
Kama unaleta hoja za rafiki zako pia basi weka wazi ili wanao kushauria wasome context. It is obvious kua wewe huyo huyo huwezi kua mwanaume bachelor unae tafuta mke, pia uwe mwanamke alie mbali na mume wake for 2 years, tena uwe mwanamke anaeshingwa kushiriki tendo la ndoa na mume wake for the past month ingawa wanalala nae kitanda kimoja!
Last edited by a moderator: