Exposed

Exposed

Status
Not open for further replies.

Bisek

Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
77
Reaction score
10
Hivi Bisek anafikiriaje kutunga thread kama hizi in just 2 days?

Thread ya kwanza
"natafuta mke": Awe muislam kwa sababu mimi nina mke mmoja tu,awe maji ya chungwa mnene kdogo na hips za haja.Awe mwaminifu,dini yoyote ile,umri miaka 17 hadi 35,mcha mungu alietulia.

Thread ya pili
"simtamani tena mume wangu": Mwanzoni haikuwa hivi..kadiri siku zinavokwenda nazidi kukosa hamu kabisa ya kushiriki naae tendo la ndoa,inabidi usiku nijifanye naumwa ili asiniguse,wakati mwingine tunalala kama kaka na dada zaidi ya mwezi kitanda kimoja.

thread ya tatu
"Baba mwenye nyumba ananitamani"" Mume wangu amesafiri yuko uingereza kwa masomo ya miaka 2,tangu aondoke baba mwenye nyumba ameanza kuleta kea nyingi za ajab ajab,mara mboga,mara vocha,mara matunda mara hela,usiku anapenda sana tukae wote until late hours....last month aliniambia kama nataka anaweza hata akaninunulia gari,im between the lines naomba ushauri ndugu zangu,what is the best way to deal with this issue

Kama unaleta hoja za rafiki zako pia basi weka wazi ili wanao kushauria wasome context. It is obvious kua wewe huyo huyo huwezi kua mwanaume bachelor unae tafuta mke, pia uwe mwanamke alie mbali na mume wake for 2 years, tena uwe mwanamke anaeshingwa kushiriki tendo la ndoa na mume wake for the past month ingawa wanalala nae kitanda kimoja!
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaa... Nimependa hizo hips za haja! Kila la Heri ndugu..
 
Kwahiyo umeamua kumtafuta kwakutumia Avator, we kweli mwarabu
 
Mwanzoni haikuwa hivi..kadiri siku zinavokwenda nazidi kukosa hamu kabisa ya kushiriki naae tendo la ndoa,inabidi usiku nijifanye naumwa ili asiniguse,wakati mwingine tunalala kama kaka na dada zaidi ya mwezi kitanda kimoja.

Kwahiyo unataka tukusaidie nini?

1. Kukushauri ili uwe na hamu naye
2. Kukushauri namna bora ya kuomba talaka?
3. Kukutafutia kibuzi kimoja au viwili au ukitaka vingi vya JF viwe vinakulima na kukuranda pale utakapokuwa na hamu
4. Kukupa mbinu bora ya kumkwepa badala ya hiyo ya "kitoto" ya kujifanya unaumwa.

Nakushauri, come this way nikufanyie maombi. Una PEPO baya sana la ngono.
3.
 
Asprin nadhani umefunga hii sred, sina cha kuongezea
 
Mara nyingi huwa nauita ukweli unaouma...lakini kwa hakika 'mapenzi huisha', kwa wanawake na kwa wanaume pia. Baada ya hapo wengine wanaweza tu wakaendelea sababu ya mazoea, lakini wengine kama wewe linakuwa tatizo. Huwa pia siamini kuwa unaopoteza mapenzi na mwenza basi yatarudi kwa watu kukupa ushauri...ni vigumu kwa kweli kudumu kwenye hiyo hali. Hii inaweza pelekea kwenye kunyanyasana..ku'cheat'..na magomvi yasiyo na mwisho. Kwa kweli huo ni wakati inabidi tu u'let go'!
 
Na mume wako bila shaka hana hamu na wewe
 
Mwanzoni haikuwa hivi..kadiri siku zinavokwenda nazidi kukosa hamu kabisa ya kushiriki naae tendo la ndoa,inabidi usiku nijifanye naumwa ili asiniguse,wakati mwingine tunalala kama kaka na dada zaidi ya mwezi kitanda kimoja.

Tatizo dogo hilo ni PM nikujuze
 
Ikitokea ukajua ana nyumba ndogo utajisikia vibaya au utashukuru kwa kuwa atakupunguzia usumbufu?
JF bana, mkuu umenichekesha kwakweli. Natamani sana kuona mleta mada anajibu hili swali..
 
Mara nyingi huwa nauita ukweli unaouma...lakini kwa hakika 'mapenzi huisha', kwa wanawake na kwa wanaume pia. Baada ya hapo wengine wanaweza tu wakaendelea sababu ya mazoea, lakini wengine kama wewe linakuwa tatizo. Huwa pia siamini kuwa unaopoteza mapenzi na mwenza basi yatarudi kwa watu kukupa ushauri...ni vigumu kwa kweli kudumu kwenye hiyo hali. Hii inaweza pelekea kwenye kunyanyasana..ku'cheat'..na magomvi yasiyo na mwisho. Kwa kweli huo ni wakati inabidi tu u'let go'!

kwaiyo wapeana talaka eeh? Acha kuongopea watu..kama ndo hvyo watu wasingedumu ktk ndoa zao, kuwa mvumilivu na kutotaman wa pemben kutamfanya aendelee kuwa na mume wake bt akiweka hali ya kuchukizwa nae tu ndo atamchukia milele,wazungumze nais kuna ki2.
 
duh wee mara huna stim na mume wako sasa imekuwa mwenye nyumba anakutaka....sasa kama huna stim na mume wako ambaye yupo england basi bora upate rungu la baba mwenye nyumba
 
Hama nyumba, naona vishawishi huwezi himili weye!
 
Mwanzoni haikuwa hivi..kadiri siku zinavokwenda nazidi kukosa hamu kabisa ya kushiriki naae tendo la ndoa,inabidi usiku nijifanye naumwa ili asiniguse,wakati mwingine tunalala kama kaka na dada zaidi ya mwezi kitanda kimoja.

Amesharudi toka masomoni?
Na vipi baba mwenye nyumba anakuvutia kimapenzi?
 
sasa ndio unafundisha nini jamii?? unacheat live halafu unakuja kusema hapa! ni mbaya, tena mbaya. kha cku hizi cheatings zinafanywa wazi wazi eeh? lol!
 
Mume wangu amesafiri yuko uingereza kwa masomo ya miaka 2,tangu aondoke baba mwenye nyumba ameanza kuleta kea nyingi za ajab ajab,mara mboga,mara vocha,mara matunda mara hela,usiku anapenda sana tukae wote until late hours....last month aliniambia kama nataka anaweza hata akaninunulia gari,im between the lines naomba ushauri ndugu zangu,what is the best way to deal with this issue
mambo mengine ni ya kujitakia, mtu ushajua lengo lake bado unapokea vijizawadi na kukaa naye hadi usiku mnene, unalako jambo wewe lol
 
tatizo letu sisi wanawake ni kupenda mteremko wa maisha,yaani kupenda kukirimiwa na kuhudumiwa bila sababu ya msingi,kosa lako ni kumruhusu akuhudumie kama yeye ndo mwenye haki ya kufanya hivyo!mkatae na ACHA HARAKA KUPOKE CHOCHOTE TOKA KWAKE!unaruhusije wewe mke wa mtu mwanaume akuzoee kupitiliza!linda heshima ya ndoa yako
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom