Express your love kwa yule unayempenda Jamiiforums

Express your love kwa yule unayempenda Jamiiforums

NATUMAI HAUMSANIFU Heaven on Earth,,,MAANA HIYO SIGNATURE YAKO NI HATAREEEEEE..........

''
No matter how good she looks, someone somewhere is tired of her shit''
Mkuu hayo ni mambo ya kifamilia, kwa taarifa yako my wife ndo aliyeweka hiyo signature. siye twashare password ati!...yeleuuuwiii ntakufata mama manka. mia
 
mkuu hayo ni mambo ya kifamilia, kwa taarifa yako my wife ndo aliyeweka hiyo signature. Siye twashare password ati!...yeleuuuwiii ntakufata mama manka. Mia
hahah...ya ngoswe ntawaachia.....but someone somewhere..............
 
Nakupenda sana Vaislay.
Sasa huu mnyororo wangu mwingine nazani nitaandika mpaka nitajaza server bure. Hahahaàa
 
Daktari angu mie...mimi penda sana wewe.......lije jua, ije mvua...am gona stick wit u my Super love!
Love u sanaaaaaaaaaa!
 
Team Bazazi, first lady wenu penda sanaaa nyinyi! miss neddy unaenda vizuri, miss Chaga you grew iron balls. You surpassed my imigination. badbeybey ndumila kuwili,, wema wautaka, ubaya wautaka ukizeeka utakuwa mnafiki kama OLD CARGO wa mmu!, Maasai dada you are something else,

ha ha ha ha love you more lara 1 your rocking baby keep it up... love you
 
Team Bazazi, first lady wenu penda sanaaa nyinyi! miss neddy unaenda vizuri, miss Chaga you grew iron balls. You surpassed my imigination. badbeybey ndumila kuwili,, wema wautaka, ubaya wautaka ukizeeka utakuwa mnafiki kama OLD CARGO wa mmu!, Maasai dada you are something else,

mimi niko teamrafiki ngoja nikupe kadi tujiongezee mwanachama lakini utaweza kuvaa gwanda lol
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom