Express your love kwa yule unayempenda Jamiiforums

Express your love kwa yule unayempenda Jamiiforums

İtaachaje kufa kama wachezaji mmeingia mitini? Hata mechi za maveterani hamtaki. Nyie watu wabaya sana.

hahhahahhahha.........lol!!!

usjali sana love u mingi sana wangu, ngoja nitafute muda nikusake tukamsalimie cacico
 
Last edited by a moderator:
kuna huyu mwanadada,dah! huwa nampenda sana hapa jf japo simjui sura,umri wake,umbile lake,(sijui ni tipwa tipwa,anduje cos sivutiwi na sampuli hiyo),na muonekano wake kwa ujumla.najua hujijui ila kaa ukijua jinga la kupenda kadoda11 linakupenda regardless of the few staffs i've pointed above.kwaherini,narudi zangu kenya forums.

Sijui ni mimi??? :doh: :doh:
 
Last edited by a moderator:
We jishaue tu. Bila kukaguliwa na babu huna nafasi #teambazazi #. Wenzako wanakuangalia tu.

yaaani safari hii umekutana na mwamba....babu sikaguliki, tena wote kaeni mniangalie navyopepea....



lakini katatizo kakitokea nitakutafuta
 
yaaani safari hii umekutana na mwamba....babu sikaguliki, tena wote kaeni mniangalie navyopepea....



lakini katatizo kakitokea nitakutafuta

Ndo ujue hapo kwa Vin Diesel labda ukubali uwe mchepuko. #Teambazazi # Tuna ushirikiano na uthubutu kama AlShabaab. Huwezi ingia kundini bila ukaguzi wa babu, usije ukawa mamluki wa Uhuru Kenyatta.
 
Last edited by a moderator:
Nimeshamjua,,,,,,,,,,kenya forums ndio kuna wa sampuli unazozitaka?

hapana mkuu,kwanza hakuna demu hata mmoja bali wanaume watupu ndio wanao lifanya jukwaa la KF kuwa active.ningefurahi kama na watoto wa kike nao wawe wanachangia.tupo KF kupangua uzushi,majigambo na mbwembwe za wakenya dhidi ya watz.muulize lawmaina78 atakwambia huwa tunawafanya nini wanapo kuja na mbwembwe zao.CC Kimweri Geza Ulole and Bulldog

back to the topic :umesema umesha mjua?!!!....kama umemjua iwe siri yako mkuu.usije ukamwaga mtama kwenye kuku wengi,au akazidisha mapozi kwangu.si unajua kidemu cha kibongo kikishajua umekipenda kinazidisha mashauzi kukukomoa.
 
Last edited by a moderator:
Sijui ni mimi??? :doh: :doh:

hahaha kama hivo vigezo vichache nilivyoweka hapo juu havikuhusu labda ni wewe....narudia tena labda ni wewe...ila mwenyewe yupo it's unfortunate she has no idea how i love her.masikini mdada yule sijui ni mke wa mtu.lol
 
Asante hakuna wenye wake hapa ....jiachie tu
xiexie ............napenda sana jina laakoooo....

Hahaaaa..naogopa#teambazazi wasije kuniufoo saro buree...hahaa asanteeee mm avatar yako tu..koh koh
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom