Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,092
- 53,496
hapana mkuu,kwanza hakuna demu hata mmoja bali wanaume watupu ndio wanao lifanya jukwaa la KF kuwa active.ningefurahi kama na watoto wa kike nao wawe wanachangia.tupo KF kupangua uzushi,majigambo na mbwembwe za wakenya dhidi ya watz.muulize lawmaina78 atakwambia huwa tunawafanya nini wanapo kuja na mbwembwe zao.CC Kimweri Geza Ulole and Bulldog
back to the topic :umesema umesha mjua?!!!....kama umemjua iwe siri yako mkuu.usije ukamwaga mtama kwenye kuku wengi,au akazidisha mapozi kwangu.si unajua kidemu cha kibongo kikishajua umekipenda kinazidisha mashauzi kukukomoa.
Much Love brother kadoda11
Last edited by a moderator: