Express your love kwa yule unayempenda Jamiiforums

My love to all ladies under 25 years old!

Ongeza reputation to show love!
 
jamani ngoja tu ni express feelings zangu,jamani mimi namzimikia baby Valentina,popote alipo jamani aje hapa japo a like comment yangu....Valentina njooo...
 
Jamani Passion Lady nakuzimia si utani,nihurumie mwenzio!
 
Mimi ni mgeni humu hata sijui watu, sijui hata nimpendae. Lakini yeyote atakaeamua kunipenda namkaribisha kwa moyo mmoja nasema nakupenda pia. Na wale wote tuliekumbana kwenye ku chat, nasema nakupenda, uwe Me au Ke, mwah mwah mwaaah.
 
My love to all ladies under 25 years old!

Ongeza reputation to show love!

Mkuu Excel..hapa unaomba reputation kijanja au..umepata ngapi.?
 
Last edited by a moderator:
nipo pm huku, na mpk sasa hakuna aliebisha hodi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…