Munkari
JF-Expert Member
- Feb 9, 2013
- 8,084
- 4,358
uliona sawa bana
wala hukukosea kabisaa
mmmh nnawasiwasi!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
uliona sawa bana
wala hukukosea kabisaa
ujue mi sielewi demba kasema nachokoza,we unanambia kuna wafu humu,heeh ndo nashangaaa sijapata taarifa za maziko !!
My love to all ladies under 25 years old!
Ongeza reputation to show love!
mode walimerge I'd ndio maana
Kama ni mutual love...I love ALL JF MEMBERS jamani...!!!!
hahahaha! Kumbe! Mods wabaya!! Loh kumbe ndio mana simuoni morg humu!mweh haya usiku mwema!
uchokozi upi? Siriazly!! Kumbe ndo kilichofanyika,dah ckuwa najua..
huku niliko ndio kunapambazuka...
lala salama[/QUOTE
nakutakia asubuhi njema ila angalia
wasije wakaja hapa
wenye wivu wakasena unajiproud kuwa haupo bongoland instead uko somewhere majuu!!]
huku niliko ndio kunapambazuka...
lala salama[/QUOTE
nakutakia asubuhi njema ila angalia
wasije wakaja hapa
wenye wivu wakasena unajiproud kuwa haupo bongoland instead uko somewhere majuu!!]
hao wenye wivu wataendelea kusubiri sana...... mzima we we ukawa
hao wenye wivu wataendelea kusubiri sana.
..... mzima we we ukawa[/
QUOTE]
niko poa kabisa maminto tunalisongesha gurudumu la maendeleo,umesema kweli manake hawachelewi kukuanzishia thread.