What a Beautiful Day.
Let us express our love,Mutual feelings for the one who u love Jf
Members toka other areas mnakaribishwa
Kupendana sio dhambi jamani.
single lady: naogopa folen tho ningesema.
What a Beautiful Day.
Let us express our love,Mutual feelings for the one who u love Jf
Members toka other areas mnakaribishwa
Kupendana sio dhambi jamani.
Mm nampenda miss chag** ila tatizo yy anapenda notii apend watu
me nahisi woote ila kuna ambao zaidi...Miss Chagga, the boss, Sticky, Tzed, Matola, Zinduna, Lady furahia, Munkari, kongosho, Mchunguzi huru, Dengue, Ichana, Mshana Jr, etc. na nikwa comments zao na mada zao
What a Beautiful Day.
Let us express our love,Mutual feelings for the one who u love Jf
Members toka other areas mnakaribishwa
Kupendana sio dhambi jamani.
Ha ha ha tafuta tu noti
Kumbe kila mtu anakujua namna unavyopenda "ilehi"...
Nyie si ndiyo mnaongea ongea mpaka kila mtu anajua
Basi na wewe usiwe waongea pia ili sisi tuache...
Atakuwa Munkari tuYupo mtu flani, sehem flani huwa ananikosha kabisa. Navompenda hata siwezi elezea. Najua hajui kama roho yangu imemdondokea, lakini naogopa kumueleza nisije ambulia za mbavu. Vaislay, me love you so much.