Express your love kwa yule unayempenda Jamiiforums

Express your love kwa yule unayempenda Jamiiforums

What a Beautiful Day.

Let us express our love,Mutual feelings for the one who u love Jf

Members toka other areas mnakaribishwa

Kupendana sio dhambi jamani.

single lady: naogopa folen tho ningesema.
 
me nahisi woote ila kuna ambao zaidi...Miss Chagga, the boss, Sticky, Tzed, Matola, Zinduna, Lady furahia, Munkari, kongosho, Mchunguzi huru, Dengue, Ichana, Mshana Jr, etc. na nikwa comments zao na mada zao

What a Beautiful Day.

Let us express our love,Mutual feelings for the one who u love Jf

Members toka other areas mnakaribishwa

Kupendana sio dhambi jamani.
 
me nahisi woote ila kuna ambao zaidi...Miss Chagga, the boss, Sticky, Tzed, Matola, Zinduna, Lady furahia, Munkari, kongosho, Mchunguzi huru, Dengue, Ichana, Mshana Jr, etc. na nikwa comments zao na mada zao

Nakupenda zaidi mamy
 
yaani kuna watu ambao wakipost mada unatamani tuu kuisoma...

Kuna watu ambao wakicomment unatamani tu ujue kacomment nini...

Kuna watu ambao wasipocomment unajiuliza yuwapiiii??

Kuna watu ambao asipocomment au kupost mada unajiuliza huyu mtu yuwapi? unammisi kwa alivyozoeleka..

What a Beautiful Day.

Let us express our love,Mutual feelings for the one who u love Jf

Members toka other areas mnakaribishwa

Kupendana sio dhambi jamani.
 
Mzizimkavu huyu jamaa ananikosha sana natamani siku nimuone maana huyu jamaa ni mwisho. kwenye hadith yuko vizur, jf doctor yuko vizur post zake usiseme yaani huyu ni nomaaaaa
 
Mmmmh huyu mtt huyuuu
miss neddy we acha tu, huyu mtt huyu wallahi mabala ushungu
 
Last edited by a moderator:
Yupo mtu flani, sehem flani huwa ananikosha kabisa. Navompenda hata siwezi elezea. Najua hajui kama roho yangu imemdondokea, lakini naogopa kumueleza nisije ambulia za mbavu. Vaislay, me love you so much.
Atakuwa Munkari tu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom