Express your love kwa yule unayempenda Jamiiforums

Express your love kwa yule unayempenda Jamiiforums

....I love my wife so much. She is the ONLY woman that I have true feelings to
 
Uuuwiii... Mewasahau hawa, my lawyer Ruttashobolwa, antie Husninyo, ma'mkubwa Mamndenyi, dada zangu wakubwa gfsonwin & AshaDii nawamiss sana dada zangu! X-mke mwenza Paloma, jirani mwema marejesho, King Mswati Arushaone, x-jirani Kingmairo...

Nawapendeni sanaaaaa!!!!

Asante sana my boss charming glady,nami kwa niaba ya akananas Paloma na Passion Lady tuna sambaza upendo kwako bila kuwa sahau Mtambuzi, Rich Woman Munkari Angelicious Madame B @figganiga DEMBA, atug., lara 1, watu8 Mentor.

Daaa Walimu wangu wamenitoa mbali pamoja na kuwa na kichwa kigumu lakini nikifundishwa na hawa naelewa sana ...... Mwl gfsonwin snowhite Evelyn Salt.
Daaa upendo huu usambae hadi kwa Nicas Mtei, arusha one, Mungi, Crashwise.

List hii itaendelea.........
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaaaaa! Babu mi kikongwe wao najilazimiahia tu kwa Mswati,vitoto vibaya sana hivi jamvi zima wamwmuona Mswati wangu tu! Najikongoja humo humo!
Umeshachoka wewe hebu kaa pembeni utupishe watoto ng'aring'ari...huhuhuuuuu
 
Back
Top Bottom