Express your love kwa yule unayempenda Jamiiforums

Express your love kwa yule unayempenda Jamiiforums

Tobaaaaaaaa! Mganga wako mkali bandugu! ILA KUMBUKA MIMI NDO FIRST LADY, NAFASI ZOTE OFFICIAL NAKABA MIMI, Moyoni mwake you can be his number 1, its fine with me!

Hahahaa lara 1 umenikumbusha mke wa kibaki enzi hizoo swaga zakw
 
Last edited by a moderator:
Asante sana my boss charming glady,nami kwa niaba ya akananas Paloma na Passion Lady tuna sambaza upendo kwako bila kuwa sahau Mtambuzi, Rich Woman Munkari Angelicious Madame B @figganiga DEMBA, atug., lara1

Daaa Walimu wangu wamenitoa mbali pamoja na kuwa na kichwa kigumu lakini nikifundishwa na hawa naelewa sana ...... Mwl gfsonwin snowhite Evelyn Salt.
Daaa upendo huu usambae hadi kwa Nicas Mtei, arusha one, Mungi, Crashwise.

List hii itaendelea.........

Mkuu nimerejea uraiani. Tuwasiliane
 
Last edited by a moderator:
Umeshachoka wewe hebu kaa pembeni utupishe watoto ng'aring'ari...huhuhuuuuu
Hahahahahaaaaaa! Binti uzee hazina, ukubwa dawa atii! Acha kujifanya cyborg mambo ya kuendesha nchi na umri huo wakati wenzio wako club utayawezea wapi? Policy unazijua? Katiba mpya utaiweza? Strategy una roho ya korosho kuexecute strategy za ushindi? You are too young for this duty! Baby Vin Diesel can you send a girl to do a womans job? Ofcourse not! Eeeeeeh! We kuwa kiburudisho, make him happy ao as he gets us more money! I take care of the spotlight you take care of him in bed and we all keep the fortune, eveeybody is happy! Division of labour at its highest!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom