ZagaZagarino
JF-Expert Member
- Oct 21, 2022
- 431
- 589
Tumia SMDHabari , External hard disk yangu niliichomeka kwenye TV moja hivi na kuitoa bila mpangilio, Sasa kila nikiweka kwenye laptop inaandika Data Error Cyclic Redundancy Cheki. Au Sometimes inataka uiformat , Na ukiweka OK inagoma , Naomba msaada ! Ni transcends 1 tbh.
Command promptHabari , External hard disk yangu niliichomeka kwenye TV moja hivi na kuitoa bila mpangilio, Sasa kila nikiweka kwenye laptop inaandika Data Error Cyclic Redundancy Cheki. Au Sometimes inataka uiformat , Na ukiweka OK inagoma , Naomba msaada ! Ni t
Nimeenda Command pro nikai run as administrator , Then nikaweka CHKdsk ila bado , Nahitaji msaada zaidiComan
Command prompt
We upo maeneo gani,yangu pia ilifanya hivyo kuna fundi maaneo ya Tegeta nyuki alinisaidia bila bila kuformat data zangu, naijua ofisi yake ila namba zake sina.Habari , External hard disk yangu niliichomeka kwenye TV moja hivi na kuitoa bila mpangilio, Sasa kila nikiweka kwenye laptop inaandika Data Error Cyclic Redundancy Cheki. Au Sometimes inataka uiformat , Na ukiweka OK inagoma , Naomba msaada ! Ni transcends 1 tbh.
Shukrani sana, mimi Nipo Dodoma Mjini.We upo maeneo gani,yangu pia ilifanys hivo kuna fundi maaneo ya tegeta nyuki alinisaidia bila bila kuformat data zangu,naijua ofisi yake ila namba zake sina
Gharama yake ni bei gani.? Nataka nilinganishe ili nikienda town ni relateWe upo maeneo gani,yangu pia ilifanys hivo kuna fundi maaneo ya tegeta nyuki alinisaidia bila bila kuformat data zangu,naijua ofisi yake ila namba zake sina
Alinifanyia 15,000Gharama yake ni bei gani.? Nataka nilinganishe ili nikienda town ni relate
Tegeta Nyuki sehemu gani? Ndani ya stendi au maduk ya pale nje? Nina hard disk imenigomeaWe upo maeneo gani,yangu pia ilifanya hivyo kuna fundi maaneo ya Tegeta nyuki alinisaidia bila bila kuformat data zangu, naijua ofisi yake ila namba zake sina.