External Hard Disk imekuwa Corrupted 1TB

External Hard Disk imekuwa Corrupted 1TB

ZagaZagarino

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2022
Posts
431
Reaction score
589
Habari, External hard disk yangu niliichomeka kwenye TV moja hivi na kuitoa bila mpangilio, sasa kila nikiweka kwenye laptop inaandika Data Error Cyclic Redundancy Cheki. Au Sometimes inataka uiformat na ukiweka OK inagoma. Naomba msaada! Ni transcends 1 TB.

CHA AJABU

Kwenye Window 7 inasoma lakini window 10 inagoma
 
Habari , External hard disk yangu niliichomeka kwenye TV moja hivi na kuitoa bila mpangilio, Sasa kila nikiweka kwenye laptop inaandika Data Error Cyclic Redundancy Cheki. Au Sometimes inataka uiformat , Na ukiweka OK inagoma , Naomba msaada ! Ni transcends 1 tbh.
Tumia SMD
 
Coman
Habari , External hard disk yangu niliichomeka kwenye TV moja hivi na kuitoa bila mpangilio, Sasa kila nikiweka kwenye laptop inaandika Data Error Cyclic Redundancy Cheki. Au Sometimes inataka uiformat , Na ukiweka OK inagoma , Naomba msaada ! Ni t
Command prompt
 
Habari , External hard disk yangu niliichomeka kwenye TV moja hivi na kuitoa bila mpangilio, Sasa kila nikiweka kwenye laptop inaandika Data Error Cyclic Redundancy Cheki. Au Sometimes inataka uiformat , Na ukiweka OK inagoma , Naomba msaada ! Ni transcends 1 tbh.
We upo maeneo gani,yangu pia ilifanya hivyo kuna fundi maaneo ya Tegeta nyuki alinisaidia bila bila kuformat data zangu, naijua ofisi yake ila namba zake sina.
 
We upo maeneo gani,yangu pia ilifanys hivo kuna fundi maaneo ya tegeta nyuki alinisaidia bila bila kuformat data zangu,naijua ofisi yake ila namba zake sina
Gharama yake ni bei gani.? Nataka nilinganishe ili nikienda town ni relate
 
We upo maeneo gani,yangu pia ilifanya hivyo kuna fundi maaneo ya Tegeta nyuki alinisaidia bila bila kuformat data zangu, naijua ofisi yake ila namba zake sina.
Tegeta Nyuki sehemu gani? Ndani ya stendi au maduk ya pale nje? Nina hard disk imenigomea
 
Back
Top Bottom