Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 24,523
- 30,084
Huu ndiyo UZALENDO!Una wivu na husda sana wewe. JIREKEBISHE
Hataki na wewe upate ajira?Una wivu na husda sana wewe. JIREKEBISHE
Kila punje ya karanga ndani ya gunia inafaida yake, usitoboe gunia.Halafu mmepanda watu wangapi?
Si wamelipia kwenye hiyo sh 13,000/= wanachukua kwa kumbukumbu kuwa walipanda SGR.nashauri tu maintanance. vile vidude vya kutundika kakitu pale kwenye seat baafh vimeng'olewa.
Kheri wenye wivu kuliko aliyelishwa limbwatwa ya maji ya bendera ya CCM.Una wivu na husda sana wewe. JIREKEBISHE
Ungekuwa umewahi kufanya biashara ungejua kuwa ukipunguza gharama za matumizi yasiyo ya lazima unaweza kuikuza biashara yako, kwa wanaojua kifo cha mabasi ya Kamata wanakumbuka jinsi yale mabasi yalivyokuwa yakitenga kiti cha nyuma mwisho kwa ajili ya fundi endapo likiharibika! Kiti namba moja na mbili cha kondakta na dereva! Mabasi ya shirika la reli yslikuwa na madereva wawili tu ambao walikuwa mbele kwenye chumba chao, haya yalifanya vizuri mpaka EAC ilipovunjika.Kuna abiria 1000 humo na wewe ndio umelipa bei ya chini kabisa.
Kwenda na kurudiΓ30.
We unadhani wao hawana akili
πππππUmeongea point tupu tangu halafu lile bibi shetani la baharini linasema tunafanya vizuri kuliko marekani na ulaya. Sijui wanaokota wapi hizi takataka watanganyika wenzangu. Yani majitu na bakora zao mbele kama tai yanafyata kwa kinyago yalichokichonga yenyewe eti. Mabeyo huna akili kabisa
Acha uchawa, reli imeishia Dodoma, safari nne kwenda nne kurudi wewe unasema imeleta mabadiliko makubwa kiuchumi wakati haibebi mizigo! Uchumi upi! Uchawa usio na tija.Tatizo ni kunyang'anywa 'shangazi kaja'
Hao wote ulowaona ni 1/3 ... bado wengineo walioko kwenye mifumo ya ict / umeme / ulinzi usioonekana / wamasai etc
Usafiri umeleta mabadiliko sana kiuchumi, malazi, etc
Ila SGR inawanyima riziki Watanzania wengi na inatufundisha "uchoyo na ubinafsi".Tatizo ni kunyang'anywa 'shangazi kaja'
Hao wote ulowaona ni 1/3 ... bado wengineo walioko kwenye mifumo ya ict / umeme / ulinzi usioonekana / wamasai etc
Usafiri umeleta mabadiliko sana kiuchumi, malazi, etc
Humo mwenye shangazikaja ndimo mnabeba ndumba ili treni isimame porini.Ila SGR inawanyima riziki Watanzania wengi na inatufundisha "uchoyo na ubinafsi".
Mimi nikisafiri kati ya Dar na Dodoma kwa njia ya barabara,lazima ninunue vitu pale Chalinze (nyama), Mbande, Kibaigwa, Gairo, Dumila, Ruvu, Chalinze kwa ajili ya zawadi.
Wale wauzaji wanapata japo kidogo, lakini pia kule niendapo wanajua kweli Babu kaja kutokana na zawadi nibebazo.
Kwa SGR hayafanyiki haya, hata dhabibu kubeba ni shida.
Nafikiri ingekuwa vyema kama kungekuwa na behewa/mabehewa ya kuweka mizigo kwa kila safari, ili watu tusafiri na zawadi zetu na " shangazi kaja" zetu.