Mabadilikoo yaweza kuwa chanya ama hasi -- Hasi kulingana na mfano ulioutoa.Acha uchawa, reli imeishia Dodoma, safari nne kwenda nne kurudi wewe unasema imeleta mabadiliko makubwa kiuchumi wakati haibebi mizigo! Uchumi upi! Uchawa usio na tija.
Iyo yote ili mpate huduma bora...lakini bado tu mnalalama wakuu!!na serikali muda mwingine haingalii faida tu bali na raia wake mpate ajira...mbona hamna jema!!!!Ukiingia kituo cha treni ya SGR Dar es Salaam ili upate tikiti ya shs. 13,000/= utahudumiwa na wafanyakazi kama wanne ukianza na kaunta ya mapokezi ambaye hana kazi.
Ukienda dirisha la tikiti yupo unayemuambia unakokwenda na muda wa treni unayotaka, kisha anaelekeza kwa mwandika tikiti naye anakurusha kwa mpokea malipo ya tikiti na kukurusha kwa mtoa tikiti!
Mlolongo huu umepunguza ukosefu wa ajira ila umepunguza faida kwenye tikiti hiyo ya sh.13,000/= kwenye hatua ya kwanza ukiacha ngazi za umeme zinazokupeleka kwenye malipo na kukushusha.
Hatua ifuatayo ni sehemu ya ukaguzi wa kabegi kako, hapo ipo skana na wakaguzi zaidi ya watatu wanapiga soga, safi sana maana bila soga watasinzia, nao mshahara unatoka kwenye ile tikiti ya sh.13,000/=, hapa angalau waweke malipo ya gharama za ukaguzi kufidia hasara.
Hatua ya mwisho ni baba lao, kusafirishwa kwa treni ya umeme kwa kutumia tikiti hiyohiyo ya sh 13,000/=!Humo ndani ya treni sasa kunawafanyakazi wengi kuliko hoteli ya kitalii ambao utawaona wakipanda treni lakini mpaka unafika Morogoro hautawaona wanachokifanya ndani ya treni, nao mshahara unatoka ndani ya hiyohiyo sh.13,000/= na treni ya SGR bado inapata faida! Kweli Mungu Mkuu.
Asante TRC mmenifikisha salama japo kachupa kangu ka maji ya kunywa na mfuko wangu wa shangazikaja mmeninyanganya(mmeninyang'anya).
Mbona likizima hatuwaoni wakilisukuma liendelee na safari, kwenye biashara gharama za matumizi zikiwa chini husababisha bei ya bidhaa kushuka, hivyo na hili nauli zao zingeweza kushuka kwani ni kawaida nauli za treni kuwa za chini kutokana na mabehewa mengi kutumia injini moja.Iyo yote ili mpate huduma bora...lakini bado tu mnalalama wakuu!!na serikali muda mwingine haingalii faida tu bali na raia wake mpate ajira...mbona hamna jema!!!!
Abiria wanasafiri bure? Huoni kila tiketi kuna pesa ya kodi ? Kodi huelewi zinafanya kitu gani kwenye uchumi?Acha uchawa, reli imeishia Dodoma, safari nne kwenda nne kurudi wewe unasema imeleta mabadiliko makubwa kiuchumi wakati haibebi mizigo! Uchumi upi! Uchawa usio na tija.
Tikiti ya sh 13,000/= ina TRA, wakatishaji wanne!, treni, kundi wahudumu wa ndani ya treni, umeme, maji na uchakavu, fikiria TRC inabaki na nini kwenye hiyo sh.13,000/=?Abiria wanasafiri bure? Huoni kila tiketi kuna pesa ya kodi ? Kodi huelewi zinafanya kitu gani kwenye uchumi?
Tiketi inakusanya kodi kila ukatapo
Treni ya Abiria ya SGR ni kitega uchumi cha TRA pia kukusanya kodi

Sio utamaduni... watasubiri mpaka utokee uharibufu mkubwa... ndio watumie Bilions kurekebisha...nashauri tu maintanance. vile vidude vya kutundika kakitu pale kwenye seat baafh vimeng'olewa.
Kapige mswaki kiongozi unachafua hali ya hewaKheri wenye wivu kuliko aliyelishwa limbwatwa ya maji ya bendera ya CCM.
Ndiyo maana miradi ya serikali ina hasara mwanzo mwisho sababu ya aina hi ya mapunguani wako wengi sana.Una wivu na husda sana wewe. JIREKEBISHE
Yaan wabongo ustaarabu sifuri kabisa, wanang'oa ng'oa vitu tunashauri tu maintanance. vile vidude vya kutundika kakitu pale kwenye seat baafh vimeng'olewa.
Haya sasa kiko wapi! Kaondoka na begi lake la shangazikaja, tusubiri mpangilio mpya wa shirika.Kapige mswaki kiongozi unachafua hali ya hewa
Hiyo 13000,watowa wewe peke yako?Au wako maelfu ya abiria?Tumia akili,hao we zako wamepata ajira,ili mkono uwende Kinywani.Pigq hesabu 13000 mara idadi ya abiria wa kila siku.Ukiingia kituo cha treni ya SGR Dar es Salaam ili upate tikiti ya shs. 13,000/= utahudumiwa na wafanyakazi kama wanne ukianza na kaunta ya mapokezi ambaye hana kazi.
Ukienda dirisha la tikiti yupo unayemuambia unakokwenda na muda wa treni unayotaka, kisha anaelekeza kwa mwandika tikiti naye anakurusha kwa mpokea malipo ya tikiti na kukurusha kwa mtoa tikiti!
Mlolongo huu umepunguza ukosefu wa ajira ila umepunguza faida kwenye tikiti hiyo ya sh.13,000/= kwenye hatua ya kwanza ukiacha ngazi za umeme zinazokupeleka kwenye malipo na kukushusha.
Hatua ifuatayo ni sehemu ya ukaguzi wa kabegi kako, hapo ipo skana na wakaguzi zaidi ya watatu wanapiga soga, safi sana maana bila soga watasinzia, nao mshahara unatoka kwenye ile tikiti ya sh.13,000/=, hapa angalau waweke malipo ya gharama za ukaguzi kufidia hasara.
Hatua ya mwisho ni baba lao, kusafirishwa kwa treni ya umeme kwa kutumia tikiti hiyohiyo ya sh 13,000/=!Humo ndani ya treni sasa kunawafanyakazi wengi kuliko hoteli ya kitalii ambao utawaona wakipanda treni lakini mpaka unafika Morogoro hautawaona wanachokifanya ndani ya treni, nao mshahara unatoka ndani ya hiyohiyo sh.13,000/= na treni ya SGR bado inapata faida! Kweli Mungu Mkuu.
Asante TRC mmenifikisha salama japo kachupa kangu ka maji ya kunywa na mfuko wangu wa shangazikaja mmeninyanganya(mmeninyang'anya).
Apige hesabu hiyo 13000 mara idadi ya abiria,ni shiling ngapi.Halafu apige hesabu idadi ya safari kwa siku,halafu apige hesabu ya nauli nyinginezo mara idadi ya abiria ni shilingi ngapi.Hao watu wanne,waliopata ajira,roho inamuuma.Ni roho mbaya tu,aliyonayo mleta uzi.Iyo yote ili mpate huduma bora...lakini bado tu mnalalama wakuu!!na serikali muda mwingine haingalii faida tu bali na raia wake mpate ajira...mbona hamna jema!!!!
Hapa ni shida, hadi chakula cha mtoto mchanga ni challenge kuingia nacho, sijui Kama ipo sawa au ni mimi?! Naona km tumezidisha complications.Asante TRC mmenifikisha salama japo kachupa kangu ka maji ya kunywa na mfuko wangu wa shangazikaja mmeninyanganya(mmeninyang'anya
Kila behewa Lina mhudumu 1 ambaye anahudimia abiria 45-78,posho 40,000*1*14=280,000Tikiti ya sh 13,000/= ina TRA, wakatishaji wanne!, treni, kundi wahudumu wa ndani ya treni, umeme, maji na uchakavu, fikiria TRC inabaki na nini kwenye hiyo sh.13,000/=?