EXTRAVAGANZA Safari's za treni ya SGR reli ya kati

Fanya hesabu kwa tikiti moja unayouza ili ujue faida halisi kisha zidisha kwa idadi ya safari ambazo hazizidi nne. Wanaweza wakaona wanaishi kwa sababu wanayo treni ya kawaida reli ya kati, wakichanganya mapato si haba, ila ujue nayo treni inahudumiwa(tiba) kwa tikiti hiyohiyo moja, unapokuwa na biashara mbili zilizo pamoja unaweza usijue hasara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…