Ndio hicho nachosema, sifa za kijinga. Huyu ni mchezaji wa timu ya taifa ya Ubeligiji, so acha huo upuuzi. Hana uraia wa Kenya.Wacha upuuzi baba yake ni Mkenya, lazima arudi nyumbani ajuwe mahali baba yake alikozaliwa, Kama vile Obama anawasili wiki ijayo kuangalia mambo ya nyumbani. Kila mtu ana kwao ambako wazazi walizaliwa
Povu ruksaNdio hicho nachosema, sifa za kijinga. Huyu ni mchezaji wa timu ya taifa ya Ubeligiji, so acha huo upuuzi. Hana uraia wa Kenya.
Middle income KenyaNinacho kijua ni kuwa tofauti kati ya Tanzania na Burundi ni ukubwa wa ardhi lakini ikifika ni umasikini Nchi hizi mbili ziko level moja kwa kuwa zote ziko classified as LDCs.
Katiba ya Kenya inakubalia uraia pacha. Ndio maana Miguna Miguna ni raia wa Canada pia.Ndio hicho nachosema, sifa za kijinga. Huyu ni mchezaji wa timu ya taifa ya Ubeligiji, so acha huo upuuzi. Hana uraia wa Kenya.