Exxon wants out of tanzania!

Exxon wants out of tanzania!

Ccm inashikwa makende kila kona😱😀😀😱
 
IMG_20180609_012438_609.JPG
 
Geza ametokwa povu leo juu ya huu uzi naona anafungua nyuzi tatu kwa saa. Leo hapati usingizi.
men-doing-laundry-collection-006.jpg
 
Wacha upuuzi baba yake ni Mkenya, lazima arudi nyumbani ajuwe mahali baba yake alikozaliwa, Kama vile Obama anawasili wiki ijayo kuangalia mambo ya nyumbani. Kila mtu ana kwao ambako wazazi walizaliwa
Ndio hicho nachosema, sifa za kijinga. Huyu ni mchezaji wa timu ya taifa ya Ubeligiji, so acha huo upuuzi. Hana uraia wa Kenya.
 
Ninacho kijua ni kuwa tofauti kati ya Tanzania na Burundi ni ukubwa wa ardhi lakini ikifika ni umasikini Nchi hizi mbili ziko level moja kwa kuwa zote ziko classified as LDCs.
 
Ndio hicho nachosema, sifa za kijinga. Huyu ni mchezaji wa timu ya taifa ya Ubeligiji, so acha huo upuuzi. Hana uraia wa Kenya.
Katiba ya Kenya inakubalia uraia pacha. Ndio maana Miguna Miguna ni raia wa Canada pia.
 
Back
Top Bottom