Eyebrows up as Tanzania President John Magufuli absent from Nairobi Blue Economy conference

I think Dr. Magufuli is striking the right chords and our neighbours are very unconfortable. Pilipili usiyoila yakuwashiani?
 








Huyo mwanamke Mchina/Mjapan anafanya uchawi gani na hivyo vidole?




 
Inaelekea Jiwe anawaumiza sana kichwa majirani.... Yani hata Shein hamkumuona.. sisi akienda waziri au makamu wa Rais au Foreign Secretary inatosha.. kama ni kuzurura duniani J.K ameshamaliza sasa hivi ni kupiga kazi tu..

Na hiyo blue economy Tanzania ndio leading East Africa maana sisi ndo tunaongoza kwa kuwa na water bodies kubwa huu ukanda.. hata hilo lake victoria percent kubwa ipo Tanzania... tuna longest shores.. largest rivers... Tanganyika and Nyasa lakes.. in short kama ni activities za blue economy we are leading so hatuhitaji mikutano na buzzwords.. sisi tunafanya kazi..

A good reminder.. baada ya mwezi kila mtu atakuwa ameshasahau so life ita move on...
 
They should build a more advanced international conference center in upper hill or Westi.
KICC imepitwa na wakati! Needs major makeover, if it was 1998 I would be impressed but this is 2018, we dont just need iconic, we need world class too








 
They should build a more advanced international conference center in upper hill or Westi.
Kulikua na mipango ya ku upgrade KICC lakini sijui iliishia wapi




Majengo ya kiserekali ndo yalikua miongoni mwa majengo marefu ya kwanza CBD, mi naona serekali ina waste opportunity kwa kubaki na haya majengo ya kitambo ambayo yanafanya wafanyikazi wawe innefficient, inafaa by 2025, Wabomoe kila kitu Justice department, Office of the president harambee house, Public service commision, Ministry of foreign affairs, hadi Minstry of Education, hio strech yote ibomolewe alafu wajenge modern skyscraper complex za serekal.




Anyway, Upperhill kunajengwa mahoteli mapya na pia ni karibu na JKIA kuliko westi , itakua ni location poa sana for a major international conference venue
 
You are the most uneducated person I have ever seen.
 
Hii ndio sababu Kenya haitokaa ipatane na majirani zake, hasa Tanzania, kila wakati wanajiweka upande wa kuwa wao wanaonewa.

Kuna uhusiano gani wa Magufuli kushindwa kuhudhuria hiyo conference na hostility kati ya hizi nchi mbili wakati alishasema hatohudhuria mikutano ya nje badala yake atatuma wakilishi?.

Magufuli hajawahi kutembelea nchi yoyote zaidi ya Kenya, Uganda, Rwanda na Ethiopia, nchi ambazo ni marafiki na majirani kama Zambia, Msumbiji, South Africa, marais wao wameshafanya ziara hapa nchini lakini Magufuli hajawahi kwenda lakini hawalalamiki, Kenya mna maana ninyi.
 
Anaogopa kupanda hivo vipanga boy vyake?? Vyekelea mbali.
 
2025, ******** akitoka, nataka kuona tanzania imetoka ldc na kuwa upper middle income. namba munaisoma na mutazidi kuisoma, upende usipende, utake usitake, ulie usilie, ulale uburuke..... namba mutaisoma na mutazidi kuisoma!
 

By the way why don't you host any conferences?
Is it because of the accommodation in Dar... I suppose no one fancies sleeping at Hong Kong Hotel.
Global conferences like these ones are part of the reason the gap between our GDP is ever expanding. It's the reason Nairobi has as many hotel rooms as the whole of Tanzania.

Nyinyi endeleeni kununua korosho.
 

Tanzania ndio inaongoza haya yote na kwa hivyo ingekuwa the natural host wa hii conference. Kenya ambayo sijui hata tuna mito ngapi, ndio tumechaguliwa kuwa host.
Hilo linakuambia nini?

Kwa sababu president wenu ni 'work from home', dunia nzima itaiona Tanzania tu hivo. Isolationist nation ambao kazi yao ni kula na kununua korosho.

Hii ni conference ambayo iko na delegates mamia ama maelefu. Watalala hoteli za Nairobi, watatumia pesa Nairobi.
Next time ukijiuliza kwa nini gap ya GDP inaendelea kuongezeka, kumbuka hili.
 
also tourism
 
Nkt! We unajielewa kweli?? Tz ni shida ya Africa not just for Kenya. Hamtaki kujihusisha na AU,EAC na Kenya na bado mnataka kufanya biashara na Inchi za Africa, ikiwa Rwanda,Uganda hadi Somalia walifika Tz ndio kina nani? Yet you are neighbors! Kwani how broke is magu to cross from Dar to Nairobi. Hii ujinga yenu ni ya kushangaza dunia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…