Eyebrows up as Tanzania President John Magufuli absent from Nairobi Blue Economy conference

Eyebrows up as Tanzania President John Magufuli absent from Nairobi Blue Economy conference

Wakenya bwana mwaka 2012 magufuli alikuwa waziri tu,mlitaka audhurie Uhuru kuapishwa?..Kikwete alikuja
 
I think Dr. Magufuli is striking the right chords and our neighbours are very unconfortable. Pilipili usiyoila yakuwashiani?
Is it? Vitabu vimetuasa to love thy neighbour as you love thyself.
 
I think Dr. Magufuli is striking the right chords and our neighbours are very unconfortable. Pilipili usiyoila yakuwashiani?
Is it? Vitabu vimetuasa to love thy neighbour as you love thyself siyo make him/her uncomfortAble. mkristo pandikizi nini?
 
Jiwe anaogopa mikutano ya kimataifa sana sijui kwanini aisee.
 
46987316_2408612275833978_783946125542424576_n.jpg

47194396_2408612292500643_7871308661262385152_n.jpg

Huyo mwanamke Mchina/Mjapan anafanya uchawi gani na hivyo vidole?
46908423_2408612305833975_2844075112313913344_n.jpg

46847372_2408612549167284_5136405780752236544_n.jpg
Haahha that's why madeni hayapungui ukanda huu.wachina watatukomesha wallahi
 
Tatizo ana upori pori wa ajabu ajabu na mshamba tu.

Mwache aendelee kujitenga na dunia.
 
He he he he he
These Nyang'aus daily ni kulalamika lalamika tu.

Mara Magufuli hakuhudhuria sherehe ya kuapishwa Uhuru mwaka 2012, tafikiri hata alikuwa keshakuwa Rais.
Yaani mmekuwa kama kibinti kinachobalehe, kutwa kupiga piga kelele kutafuta attention.

No wonder Kenya is a failed state.
Na mtanyooka tu safari hii.
 
Jiwe anaogopa mikutano ya kimataifa sana sijui kwanini aisee.
labda pengine anaogopa 'yai'. unajua hawa journalists wetu wana mambo ya aibu sana, anaweza kukuuliza swali kwa ile lugha nyingine ile, ukabaki uko "you know,,, ze ze ze ze" na kukuna kichwa utamani ardhi ipasuke
 
Kenya imports fish from China,
Tz has a thriving fishing industry, it exploits ofshore gas mining, it has vessels in Lake Victoria and high speed boats (Ferries) in Dar-Znz Route.
Tanzania does not need a "conference" with buzzwords like blue economy - Its actually doing the business
But kibua wanaoliwa dsm na tz kwa ujumla wanatoka China, bado nchi za ukanda wa bahari hindi hatuja tumia fursa ya bahari ipasavyo...
 
Hii inaonyesha ni kwa kiasi gani Magufuli ilivyo Muhimu katika kandaa hii, kama Marais wote wamekuja, na Magufuli amemtuma rais wa Zanzibar kuja kuwakilisha, kwanini lazima afike yeye binafsi?.

Ngoja tuwaambie, Magufuli hajawahi kwenda mikutano yote ya SADC ambayo ni muhimu kuliko huko Nairobi, kamwe hakuna nchi yoyote inayolalamika, hajawahi kwenda UN, hakuenda mkutano wa China na Africa ambao ungeleta faida kubwa kwa Tanzania.

Magufuli alishasema hatosafiri, hiyo ndio Sera yake, kwanini mnataka lazima aje Kenya?. Kaeni mkujua, hatokuja Kenya ninyi endeleeni kulalamika.
Nkt! We unajielewa kweli?? Tz ni shida ya Africa not just for Kenya. Hamtaki kujihusisha na AU,EAC na Kenya na bado mnataka kufanya biashara na Inchi za Africa, ikiwa Rwanda,Uganda hadi Somalia walifika Tz ndio kina nani? Yet you are neighbors! Kwani how broke is magu to cross from Dar to Nairobi. Hii ujinga yenu ni ya kushangaza dunia.
 
Hana muda wa kupoteza, ninyi endeleeni Vasco Dagama wenu anayezurura dunia bila malengo.
labda pengine anaogopa 'yai'. unajua hawa journalists wetu wana mambo ya aibu sana, anaweza kukuuliza swali kwa ile lugha nyingine ile, ukabaki uko "you know,,, ze ze ze ze" na kukuna kichwa utamani ardhi ipasuke
 
Mkikuyu wangu Zanzibar imports fish. Nimemaliza.
huyu jamaa ni mtanzania mwenzetu lkn ukimsoma vile anatema upupu utashangaa..........

anyway, huyu kijana inawezekana kwao ni kanda ya kati![emoji12]
 
Kenya imports fish from China,
Tz has a thriving fishing industry, it exploits ofshore gas mining, it has vessels in Lake Victoria and high speed boats (Ferries) in Dar-Znz Route.
Tanzania does not need a "conference" with buzzwords like blue economy - Its actually doing the business
😂😂😂 You sound like bwege ambaye ametoroka Mathare!
Tanzania exports fish from China like nonsense
Tanzania's Sh20bn fish paradox
 
Pwahahaha... Fobe is such a casual naive guy... ANAOGOPA Palipo watu wengi..... Akiulizwa atoe hoja kwa nini Icebergs are receding...... The best thing he can say is "Fyekelea mbali"

Hawezi kuwa na mjadala na peers.
Sijui ni kuwaogopa ama ni confidence hana.
Yeye anajua tu kubweka orders kwa wadogo wake.
 
Back
Top Bottom