Ezden apata mpenzi UK

Binti Magufuli

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2011
Posts
7,479
Reaction score
5,157
Ule msemo wa ukisema cha nini wenzako wakiona cha maana na mzoea vya kunyonga vya kuchinja haviwezi umedhihirika pale ambapo kijana mzoea ma sugar mammy amejikuta akiangukia kwenye suga mammiest zaidi ya aliyekuwa nae awali.

Inasemekana Ezden the roker yule mtalaka wa dida shaibu ameingia katika penzi jipya na Flora Lymo a.k.a MBUTA NANGA ambae amekufa na kuoza kwa kijana Ezden. Habari kutoka kwa watu wa karibu na wahusika hawa zinasema tayari ticket imekatwa tayari kwa Ezden kukanyaga viunga vya jiji la London ili kumsalimia mpenzi wake mpya Flora Lymo. Kwa faida ya wengi ni kwamba Flora ndiye aliyetupa nyavu kwa Ezden na kijana bila hiyana akanasa nyavuni. Kama mambo yataenda sawa kijana Ezden anaweza kuhamia nchini Uingereza na kupata uraia wa huko kwani bibie tayari ana kibali cha kudumu cha makazi ya nchi hiyo kama sio uraia kabisa.

Kwa habari hizi yule mtoto wa king majuto alaiyekuwa ametuma maombi kwa florah lymo asahau tu kwani kete imemwangukia Ezden the rocker.

Hahaha ila Ezden kwa kuparamia mamama hahaha hujambo. ujue florah ni 40yrs anaitafuta 41 heri hata dida ni 30's.

Nawatakia kila la heri katika mapenzi yao...kumbuka mapenzi si sura, umbo wala umri. Dida mchuma ndio unaondoka huoooo kitu U.K.

Picha chini ni florah lymo na ezden the roker
 

Attachments

  • FLORA LYIMO WEEK YA 7 HOW TO LOOK SEXY AT HOME PICHAS 135.JPG
    255.7 KB · Views: 1,939
  • 305043_4113658434238_1687782257_n.jpg
    67.6 KB · Views: 1,809
Hehehehe acheni nicheke jamani. Unachosema ni kweli au??? Sasa asubiri siku watakavyoachana na mbutananga ndo atajua kama mmama yule hamnazo. Hivi ni kusema kakosa wasichana wa maana hapa home? Mmmh me siamini jamani
 
Hehehehe acheni nicheke jamani. Unachosema ni kweli au??? Sasa asubiri siku watakavyoachana na mbutananga ndo atajua kama mmama yule hamnazo. Hivi ni kusema kakosa wasichana wa maana hapa home? Mmmh me siamini jamani

ushaambiwa ni tetesi
 
Huyo edzen kama ni kweli anataka kumtumia mbuta nanga ili apate uraia wa uingereza ama kweli wonders shall never end
 
Hahahahaha kweli mjini shule shamba kilimo,hivi atamuweza mbuta nanga???Asije akasingiziwa kesi ya kubaka bure maana mbuna nanga ndiyo zake hizo.
 
Hahahahaha katika siku ambazo nimecheka ni Leo hasa hii habari ya Mbuta na Edzen! Hakika Ed kachanganyikiwa kabisa!
 
Ezden kapige mambo acha kusikiliza maneno ya raia. Shimo shimo tu baya la nyoka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…