Ezden apata mpenzi UK

Ezden apata mpenzi UK

Hivi huyu dada nati zote zipo?
mi huwa nahisi kuna nati zimetoka kama sio kulegea

Hahahahaha Mwl Evelyn Salt huyu nati zilishapotea na hakuwai kujua kama atazipata tena..... na hisi na Edzen ataanza kupiga picha.....
 
Last edited by a moderator:
Hakutaka kubakwa bali mheshimiwa alikimbia rafu zake kitandani maana nasikia mziki wake ni bandika bandua nyuma geuka mbele tembea. Mheshimiwa akachomoa

Hahahhahaha kwa huyu jinsi anavyo onekana nati zimechomoka hachelewi kukupiga mangumi au kukung'ata.
 

Attachments

  • 1408812395673.jpg
    1408812395673.jpg
    59.2 KB · Views: 429
Du ama kweli ukistaajabu ya Musa utayaona ya firauni
 
Yaan sina mbavuu aisee duu mbuta nanga Ed kavutiwa na nini palee nimechokaa, siku akitimuliwa atarudi Dar kwa miguu toka Uk
 
Back
Top Bottom