Ezden na picha za aibu, nakupa pole


Bila shaka we ni edzen kabsa
 
Wanaume hawanaga hiyo ya picha za Aibu, zaidi sana aliyemuweka uchi kamuongezea jamaa umaarufu, halafu video yenyewe nimeona jamaa kajaaliwa kila idara hahaaa ndukiiiiiiiiiii

True dat...cheki Mrisho Ngasa saa hizi anatupia tu kambani kila mechi na wala hana hata habari na kilichowahi kutokea...namshauri na mkuu Edzen kwamba apige kazi kana kwamba hakuna kilichotokea.

Tumeshaona makalio ya kina Silvestre Stalon, Anold Schwarzerzenegga na hamna noma wala nini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…