Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Umeliona taulo? Pazia? Yani kiko disorganized, makorokoro kibao...Yule kweli Mario aliyekubuhu...Vile alivyo anaanzaje kuishi pale? Kwa Dida sawa, nyumba kubwa, organized, safi...ila huku duh...
Dinazarde njoo umkanye mwananzengo mwenzio....
Mambo yakutaka sifa na yeye anakaa Kinondoni, kumbe chumba chenyewe ukipiga chafya unajikuta uko nje....Angeenda kupanga Mbagala ukute kwa hela anayolipa hapo angepata chumba na Sebule...
Evelyn nimkupm no. Unitumie
Edzen ndo nani?
😱🙁🙁🙁
ha ha ha ila huyo dada.nae.mweh hicho chumba
Teh Teh unajua kila nikiangalia hile video na cheka halafu ina sikitisha sana kwakweli pamoja kuwa pale hapaendani na alivyo na anavyo onekana na anavyo jionesha kabisa!
Halafu huyu jamaa ana tatizo la kupenda utegemezi na sijui kwanini hajifunzi kwa makosa anayo fanya? Nilitegemea angejifunza kwa yalio mkuta kwa Dida lakini anaonekana hasikii kabisa!
Bado najiuliza anapofanyia kazi hawamlipi? hana wazazi wa kumshauri? hana marafiki wa kumshauri?
Hakika huyu ana hitaji kupimwa akili kabisa!
Au ana hitaji serikali itoe tenda kwa kampuni za kutoa ushauri ya mshauri?
nshakutumia
najiuliza tu hivi aki amua kumfungulia kesi ya uza lilishaji huyo aliye mrekodi hapo inakuaje kisheria?
wakati anaish kwake
Dida ndio nani?Alikuwaa mlinzi wa dida
najiuliza tu hivi aki amua kumfungulia kesi ya uza lilishaji huyo aliye mrekodi hapo inakuaje kisheria?
Dida ndio nani?
Lazima ashinde kama ana ushahidi kuwa Moza ndiye aliyezitundika mtandaoni! Moza itakula kwakwe anaweza kupigwa mvua..ili iwe fundisho..Edzen akiwa serious hii case itakuwa fundisho kwa wanao dhalilisha watu mitandaoni! Lakini na yeye anatakiwa kubadilika.
haa haaa mweeh yaani wadada wa mujini wanathamini muonekano wa miili yao zaidi....ukimkuta barabarani hutaamini kama anatoka hapo. ila bora yy angalau anakageto. huyu the rocker mmmmh!!! pole zake. ....
Embu funguka zaidi ushahidi inaweza kuwa nini?....