Ezden na picha za aibu, nakupa pole

Ezden na picha za aibu, nakupa pole

Umeliona taulo? Pazia? Yani kiko disorganized, makorokoro kibao...Yule kweli Mario aliyekubuhu...Vile alivyo anaanzaje kuishi pale? Kwa Dida sawa, nyumba kubwa, organized, safi...ila huku duh...

Dinazarde njoo umkanye mwananzengo mwenzio....

huyo dada ni nani bongo hii?? naona ni maarufu...bongo movie au???
 
Last edited by a moderator:
Mambo yakutaka sifa na yeye anakaa Kinondoni, kumbe chumba chenyewe ukipiga chafya unajikuta uko nje....Angeenda kupanga Mbagala ukute kwa hela anayolipa hapo angepata chumba na Sebule...

chupi nyuma ya mlango ha ha ha dah yani hajaishia tu kumuaibisha edzen hata ye kajiaibisha
 
Ezden come this way,tuanze maisha,sina chochote cha kukupa so huwezi kuwa Marioo kwangu na ukinidunda na mie nakudunda hata km ka ngumi kamoja 😂😂😂
 
Teh Teh unajua kila nikiangalia hile video na cheka halafu ina sikitisha sana kwakweli pamoja kuwa pale hapaendani na alivyo na anavyo onekana na anavyo jionesha kabisa!

Halafu huyu jamaa ana tatizo la kupenda utegemezi na sijui kwanini hajifunzi kwa makosa anayo fanya? Nilitegemea angejifunza kwa yalio mkuta kwa Dida lakini anaonekana hasikii kabisa!

Bado najiuliza anapofanyia kazi hawamlipi? hana wazazi wa kumshauri? hana marafiki wa kumshauri?
Hakika huyu ana hitaji kupimwa akili kabisa!

Au ana hitaji serikali itoe tenda kwa kampuni za kutoa ushauri ya mshauri?

najiuliza tu hivi aki amua kumfungulia kesi ya uza lilishaji huyo aliye mrekodi hapo inakuaje kisheria?
 
najiuliza tu hivi aki amua kumfungulia kesi ya uza lilishaji huyo aliye mrekodi hapo inakuaje kisheria?

Lazima ashinde kama ana ushahidi kuwa Moza ndiye aliyezitundika mtandaoni! Moza itakula kwakwe anaweza kupigwa mvua..ili iwe fundisho..Edzen akiwa serious hii case itakuwa fundisho kwa wanao dhalilisha watu mitandaoni! Lakini na yeye anatakiwa kubadilika.
 
Embu funguka zaidi ushahidi inaweza kuwa nini?....
 
haa haaa mweeh yaani wadada wa mujini wanathamini muonekano wa miili yao zaidi....ukimkuta barabarani hutaamini kama anatoka hapo. ila bora yy angalau anakageto. huyu the rocker mmmmh!!! pole zake. ....

sijui zile suti zake huwa anaweka wapi jameni
 
Embu funguka zaidi ushahidi inaweza kuwa nini?....

Kuna uwezekano Moza akasema si yeye aliye mrekodi na kuzipeleka mtandaoni na ana hofu labda kutakuwa kuna watu wamekuwa waki warekodi yeye na Ezden!

Ezden anachotakiwa ni kuthibitisha kama Moza ndiye aliye rekodi na kuzitundika mtandaoni.

Ambacho kinaweza kumtia hatiani Moza ni kama Ezden atathibisha amekuwa akitishiwa kudhalilisha au amekuwa akitukana au kufanyiwa vitendo na Moza vinavyo onesha angalifanya lilofanyika!
 
Umeliona taulo? Pazia? Yani kiko disorganized, makorokoro kibao...Yule kweli Mario aliyekubuhu...Vile alivyo anaanzaje kuishi pale? Kwa Dida sawa, nyumba kubwa, organized, safi...ila huku duh...

Dinazarde njoo umkanye mwananzengo mwenzio....

Huyo moza anafanya kazi gani pia ezden anaishi hpo au ilikua sehemu y mechi z nyumbani
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom