una mjua? ni nani?
Umeliona taulo? Pazia? Yani kiko disorganized, makorokoro kibao...Yule kweli Mario aliyekubuhu...Vile alivyo anaanzaje kuishi pale? Kwa Dida sawa, nyumba kubwa, organized, safi...ila huku duh...
Dinazarde njoo umkanye mwananzengo mwenzio....
sijui zile suti zake huwa anaweka wapi jameni
Hivi apart from kumuoa dida wa edzen alikuwa anaishu gani au anaimba taarabu
Maake dida ndo kazi zake
Kwikwikwi namtaka
Hakuna kitu inaudhi km kabamia
Nimeona picha zake na iko kibamia,pamoja na video,Labda safari hii atajifunza ni Aibu sana,funzo kwa vimario wote
mmmxxxiiiuuuu
Una hasiraaaa!!!!!
daah ingekua enzi zile hyo video tungeishakuta kwenye blog yetu pendwa ya rahatupu..
Dida ndio nani?
Evelyn Salt ha ha haaaaaaa wazo lako la suti za bro Ezden wa Moza limenifikirisha kweli ha ha haaaa sijui zitakuwa nyuma ya mlango zimefishwa na pochi?.. nawaza kwa sauti
Watu wamekuza sana hii ishu!Wala sioni tatizo kwa jamaa.
Mara nyingi huwa ni za studio... TV nyingi wanautaratibu wa kununua mavazi ya watangazaji na huyavaa wakiwa na kipindi.
Nimeona picha zake na iko kibamia,pamoja na video,Labda safari hii atajifunza ni Aibu sana,funzo kwa vimario wote
Acha wanawake tuseme mambo ya vibamia hiyo ni saiz tosha banaaa