Ezden na picha za aibu, nakupa pole

Ezden na picha za aibu, nakupa pole

Pole zake halafu nasikia ni kibamia cjui kweli
 
Evelyn Salt ha ha haaaaaaa wazo lako la suti za bro Ezden wa Moza limenifikirisha kweli ha ha haaaa sijui zitakuwa nyuma ya mlango zimefishwa na pochi?.. nawaza kwa sauti
 
Last edited by a moderator:
Umeliona taulo? Pazia? Yani kiko disorganized, makorokoro kibao...Yule kweli Mario aliyekubuhu...Vile alivyo anaanzaje kuishi pale? Kwa Dida sawa, nyumba kubwa, organized, safi...ila huku duh...

Dinazarde njoo umkanye mwananzengo mwenzio....

Nimechekajeee loooo maeneo flan amaizing tumeyaonaaaa😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁
 
Last edited by a moderator:
Nimeona picha zake na iko kibamia,pamoja na video,Labda safari hii atajifunza ni Aibu sana,funzo kwa vimario wote
 
Evelyn Salt ha ha haaaaaaa wazo lako la suti za bro Ezden wa Moza limenifikirisha kweli ha ha haaaa sijui zitakuwa nyuma ya mlango zimefishwa na pochi?.. nawaza kwa sauti

au anafunua godoro anaweka....ha ha ha enzi hzo nasoma umeme ukikatika tunafunua godoro tunaeka sketi za shule tunapanga marinda vizuri tunafunika tunalala asbh sketi zmenyooka usikute na suti za edzen ni hivo hivo ha ha ha
 
Last edited by a moderator:
Mara nyingi huwa ni za studio... TV nyingi wanautaratibu wa kununua mavazi ya watangazaji na huyavaa wakiwa na kipindi.

ooohh thats good ooo!!! kumbe ni kuchomoa boksa uvunguni suti anakutana nayo mbele ya safari
 
Back
Top Bottom