Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Huyu jaluo anazidi kujitia kidole mwenyewe halafu ataanza kulalamika inzi wakimfuataMbunge wa zamani kupitia CHADEMA, Ezekia Wenjeamesema si kosa kuwa na marafiki kutoka CCM, akisisitiza kwamba siasa hazipaswi kuvuruga mahusiano ya kibinadamu.
Aidha, alifananisha uongozi wa Mwalimu Nyerere na Freeman Mbowe, akisema Nyerere aliongoza muda mrefu zaidi, na kuonyesha kuwa uongozi wa muda si jambo geni.
View attachment 3196987
Pia, Soma:
Wenje akiri kufahamiana na Abdul (Mtoto wa Rais) na ana mawasiliano naye
Ezekia Wenje atangaza kugombea nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa
Wanufaika wa hela za Abdul mna solidarity kubwa sana.tatizo liko wapi? Kuwa na urafiki na watu wa CCM haina mahusiano na vyama!
Duuh, nimecheka japo lugha yako ngumuHuyu jaluo anazidi kujitia kidole mwenyewe halafu ataanza kulalamika inzi wakimfuata
A lost soldier.tatizo liko wapi? Kuwa na urafiki na watu wa CCM haina mahusiano na vyama!
Wenje anafanya biashara ya siasaMbunge wa zamani kupitia CHADEMA, Ezekia Wenjeamesema si kosa kuwa na marafiki kutoka CCM, akisisitiza kwamba siasa hazipaswi kuvuruga mahusiano ya kibinadamu.
Aidha, alifananisha uongozi wa Mwalimu Nyerere na Freeman Mbowe, akisema Nyerere aliongoza muda mrefu zaidi, na kuonyesha kuwa uongozi wa muda si jambo geni.
View attachment 3196987
Pia, Soma:
Wenje akiri kufahamiana na Abdul (Mtoto wa Rais) na ana mawasiliano naye
Ezekia Wenje atangaza kugombea nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa
Hisia hazipatani na ukweli. Lisu amewaambukiza ugonjwa mbaya sana!Wanufaika wa hela za Abdul mna solidarity kubwa sana.
Kuna wakati Dr Slaa alikuwa Chadema na Mke wake Rose Kamili akiwa CCM na maisha yalisonga mbele, Lisu kaka yake yuko CCM yeye yuko CHADEMA, na ikawa inaleta minong'ono sana nara wanapeana siri na kadhalikaMbunge wa zamani kupitia CHADEMA, Ezekia Wenjeamesema si kosa kuwa na marafiki kutoka CCM, akisisitiza kwamba siasa hazipaswi kuvuruga mahusiano ya kibinadamu.
Aidha, alifananisha uongozi wa Mwalimu Nyerere na Freeman Mbowe, akisema Nyerere aliongoza muda mrefu zaidi, na kuonyesha kuwa uongozi wa muda si jambo geni.
View attachment 3196987
Pia, Soma:
Wenje akiri kufahamiana na Abdul (Mtoto wa Rais) na ana mawasiliano naye
Ezekia Wenje atangaza kugombea nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa
Hela ya Abdul imekutieni ujinga mwingi sana. Lissu ndiye mwenyekiti ajaye.Hisia hazipatani na ukweli. Lisu amewaambukiza ugonjwa mbaya sana!
Unahisi kitu (ingawa si kosa na ni muhimu kuhisi), hapo hapo unakiconfirm bila ushahidi usio na mashaka kuwa ni true! Kosa kubwa sana!
Bado hawajasema mbonaMbunge wa zamani kupitia CHADEMA, Ezekia Wenjeamesema si kosa kuwa na marafiki kutoka CCM, akisisitiza kwamba siasa hazipaswi kuvuruga mahusiano ya kibinadamu.
Aidha, alifananisha uongozi wa Mwalimu Nyerere na Freeman Mbowe, akisema Nyerere aliongoza muda mrefu zaidi, na kuonyesha kuwa uongozi wa muda si jambo geni.
View attachment 3196987
Pia, Soma:
Wenje akiri kufahamiana na Abdul (Mtoto wa Rais) na ana mawasiliano naye
Ezekia Wenje atangaza kugombea nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa
Wenje anaishi karne 21 lakini akili zake ni za karne ya 18.Mbunge wa zamani kupitia CHADEMA, Ezekia Wenjeamesema si kosa kuwa na marafiki kutoka CCM, akisisitiza kwamba siasa hazipaswi kuvuruga mahusiano ya kibinadamu.