Pre GE2025 Ezekia Wenje: Abdul bado ni rafiki yangu, si ajabu mimi kuwa na marafiki waliopo CCM

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Mbunge wa zamani kupitia CHADEMA, Ezekia Wenjeamesema si kosa kuwa na marafiki kutoka CCM, akisisitiza kwamba siasa hazipaswi kuvuruga mahusiano ya kibinadamu.

Aidha, alifananisha uongozi wa Mwalimu Nyerere na Freeman Mbowe, akisema Nyerere aliongoza muda mrefu zaidi, na kuonyesha kuwa uongozi wa muda si jambo geni.

Pia, Soma:

Wenje akiri kufahamiana na Abdul (Mtoto wa Rais) na ana mawasiliano naye

Ezekia Wenje atangaza kugombea nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa
 
Safii sana hii ndio demokrasia
 
tatizo liko wapi? Kuwa na urafiki na watu wa CCM haina mahusiano na vyama!
 
Mbunge wa zamani kupitia CHADEMA, Ezekia Wenjeamesema si kosa kuwa na marafiki kutoka CCM, akisisitiza kwamba siasa hazipaswi kuvuruga mahusiano ya kibinadamu.

Aidha, alifananisha uongozi wa Mwalimu Nyerere na Freeman Mbowe, akisema Nyerere aliongoza muda mrefu zaidi, na kuonyesha kuwa uongozi wa muda si jambo geni.
View attachment 3196987
Pia, Soma:

Wenje akiri kufahamiana na Abdul (Mtoto wa Rais) na ana mawasiliano naye

Ezekia Wenje atangaza kugombea nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa
Huyu jaluo anazidi kujitia kidole mwenyewe halafu ataanza kulalamika inzi wakimfuata
 
Siasa si uadui, sawa na Lissu yuko na Msigwa, kaka wa Lissu ni CCM
 
Mbunge wa zamani kupitia CHADEMA, Ezekia Wenjeamesema si kosa kuwa na marafiki kutoka CCM, akisisitiza kwamba siasa hazipaswi kuvuruga mahusiano ya kibinadamu.

Aidha, alifananisha uongozi wa Mwalimu Nyerere na Freeman Mbowe, akisema Nyerere aliongoza muda mrefu zaidi, na kuonyesha kuwa uongozi wa muda si jambo geni.
View attachment 3196987
Pia, Soma:

Wenje akiri kufahamiana na Abdul (Mtoto wa Rais) na ana mawasiliano naye

Ezekia Wenje atangaza kugombea nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa
Wenje anafanya biashara ya siasa
 
Wanufaika wa hela za Abdul mna solidarity kubwa sana.
Hisia hazipatani na ukweli. Lisu amewaambukiza ugonjwa mbaya sana!

Unahisi kitu (ingawa si kosa na ni muhimu kuhisi), hapo hapo unakiconfirm bila ushahidi usio na mashaka kuwa ni true! Kosa kubwa sana!
 
Mbunge wa zamani kupitia CHADEMA, Ezekia Wenjeamesema si kosa kuwa na marafiki kutoka CCM, akisisitiza kwamba siasa hazipaswi kuvuruga mahusiano ya kibinadamu.

Aidha, alifananisha uongozi wa Mwalimu Nyerere na Freeman Mbowe, akisema Nyerere aliongoza muda mrefu zaidi, na kuonyesha kuwa uongozi wa muda si jambo geni.
View attachment 3196987
Pia, Soma:

Wenje akiri kufahamiana na Abdul (Mtoto wa Rais) na ana mawasiliano naye

Ezekia Wenje atangaza kugombea nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa
Kuna wakati Dr Slaa alikuwa Chadema na Mke wake Rose Kamili akiwa CCM na maisha yalisonga mbele, Lisu kaka yake yuko CCM yeye yuko CHADEMA, na ikawa inaleta minong'ono sana nara wanapeana siri na kadhalika
 
Hisia hazipatani na ukweli. Lisu amewaambukiza ugonjwa mbaya sana!

Unahisi kitu (ingawa si kosa na ni muhimu kuhisi), hapo hapo unakiconfirm bila ushahidi usio na mashaka kuwa ni true! Kosa kubwa sana!
Hela ya Abdul imekutieni ujinga mwingi sana. Lissu ndiye mwenyekiti ajaye.
 
Mbunge wa zamani kupitia CHADEMA, Ezekia Wenjeamesema si kosa kuwa na marafiki kutoka CCM, akisisitiza kwamba siasa hazipaswi kuvuruga mahusiano ya kibinadamu.

Aidha, alifananisha uongozi wa Mwalimu Nyerere na Freeman Mbowe, akisema Nyerere aliongoza muda mrefu zaidi, na kuonyesha kuwa uongozi wa muda si jambo geni.
View attachment 3196987
Pia, Soma:

Wenje akiri kufahamiana na Abdul (Mtoto wa Rais) na ana mawasiliano naye

Ezekia Wenje atangaza kugombea nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa
Bado hawajasema mbona
 
Wenje anaishi karne 21 lakini akili zake ni za karne ya 18.

Ni kweli kabla ya karne ya 21, nchi nyingi hazikuwa na ukomo wa madataka ya viongozi wakuu, lakini karne ya 21 , nchi nyingi, kutokana na uzoefu wa huko nyuma, zimeweka ukomo wa viongozi wakuu wa nchi na hata kwenye baadhi ya taasisi.
 
Back
Top Bottom