Ezekia Wenje achambua kinachopaswa kuitwa Tume huru ya Uchaguzi. Asema Canada na Ubelgiji ina viongozi waadilifu Nchi zao zinaendelea

Ezekia Wenje achambua kinachopaswa kuitwa Tume huru ya Uchaguzi. Asema Canada na Ubelgiji ina viongozi waadilifu Nchi zao zinaendelea

Bush Dokta

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2023
Posts
24,831
Reaction score
45,154
Ni Mwanasia machachari wa Kanda ya Ziwa aliyewahi kuvuma sana wakati huo.

Ametoa ufafanuzi wa kina na maelezo zaidi kuhusu sida bora za Tumee Huru ya
uchaguzi.

Katika maelezo yake amesema Nchi zote zinazotupatia misaada na zenye maendeleo zina mifumo ya uongozi na utawala bora.

Hivyo viongozi wake wanapatikana ktk mazingira yasiyotia shaka.

Ametoa mifano akizitaja Canada, Ubelgiji na Uingereza.

Aidha mimi mwenyewe sijawahi shuhudia Misaada na huduma za maendeleo kutoka Nchi za Kidikiteta kama China, Urusi ambao wanaleta watu wao kuuza karanga Tanzania badala ya kuleta Teknolojia.

Mtu mmoja aliwahi kusema kuwa Hata miradi ya Afya na Shulez barabara na viwanda hakuna kinachotoka Urusi, China wala Uarabuni.

Miradi ya Dawa za Ukimwi, Malaria, Kichocho, Kifua Kikuu, Shule, barabara hutoka kwa Demokratic and credible leaders huku Dikteta guys wao wakikupa msaada wa kujenga barabara basi hata Boot na nondo wanataka zitoke kwao.

 
Hapo Kenya kuna Tume Huru Lakini General Ogola alidaiwa kwenda Bomas kuipiga mkwara
 
CCM ni kama M7, wanaamini wanayo hati miliki ya nchi hii waile wao na uzao wao tu
 
Back
Top Bottom