Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Mwanasiasa na aliyekuwa mgombea nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Ezekia Wenje, ameweka wazi msimamo wake kuhusu siasa za chama hicho baada ya uchaguzi, akisisitiza kuwa bado yuko ndani ya CHADEMA na hana mpango wa kuhama.
Kupitia ujumbe wake X (zamani twitter) Wenje amesema:
"Nimepigana vita vingi maishani. Nyingine nimeshinda, nyingine nimepoteza. Kushinda na kushindwa ni sehemu ya safari. Hizi ramli ni upuuzi tu. Uchaguzi umeisha, na tuko CHADEMA kwa kubaki. Mtasubiri sana hizi porojo."
Kauli hii inakuja wakati ambapo kumekuwepo na taarifa za yeye kuondoka CHADEMA